naomben iushauri wapendwa

Hakuna kosa lolote unalolifanya...Yule mwanaume atakayekuwa na mapenzi ya kweli na wewe akishafahamu kama wewe ni bikira atafurahia sana na kamwe hatakuwa tayari kukuacha.

[/QUOTE
apo umeharibu. 99% kama sio 100% ya madem ulopiga hukuwakuta bikra> what happened?
 
Last edited by a moderator:
kwani mume anakuja tu kwa msichana nataka kuwa your mume?.inaanzia kwenye uchumba.
And no matter what kwa yule alie mpenda na mwenye malengo mazuri nae,hamuachi ng'o.
Only playerz do that.

"Future fiance"=MUME.

haya endelea kujipa moyo... watu wamewavalisha mabinti pete, wametoa mahari, wakamega na kuingia mitini... kama anataka kukomaa na bikra akomae tu hadi kieleweke lakini usimshauri hadithi ya kumpa fiancee as if ndiyo guarantee ya kuolewa..
 
kumbe ukiwa bikira inabidi umwambie mtu kuwa mimi ni bikira? unaanzaje? anakuuliza au unaanza tu kumpa hiyo taarifa?
jitunze mwaya, utampata atakayekuwa interested
 
haya endelea kujipa moyo... watu wamewavalisha mabinti pete, wametoa mahari, wakamega na kuingia mitini... kama anataka kukomaa na bikra akomae tu hadi kieleweke lakini usimshauri hadithi ya kumpa fiancee as if ndiyo guarantee ya kuolewa..

Na guarantee ya kuolewa,cyo bikira.ANYWAYS,AKIP IT FOR HER HUSBAND.
 
@casico aliyekuruhusu kutoa ushauri hapa ni nani?.......aliyekwambia mtoa mada ni jinsia ya kike ni nani?....... BADILI TABIA nilivyosikia unaniita nimekuja mbio nikijua unaniitia kitu cha maana kumbe ni haya maigizo hapa?????....siku ingine akitokea mwigizaji kama huyu usiwe unaniita sawa eeh....

hahaha mie mleta uzi kanichosha kabisa. .
Hebu mshauri jamani bikira yake isiliwe na nyenyere. . . Halafu sikujua kuwa wanaume siku hizi wanaogopa bikira
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA unadhani kuna jingine hapo?
Hao jamaa wanaona kama bado bikra watamtenda na nafsi inawasuta wakido nae then wakala kona....
So ashukuru kwa wao kukimbia otherwise itakula kwake...!
Kama anajipenda atulie tu atampata mwenye nia njema na ya kweli

bado simuelewi mtoa mada, nia na madhumuni ya yeye kuwa na boifrendi ni nini? Amependa? Au anataka kutolewa bikira?
 
Last edited by a moderator:
bado simuelewi mtoa mada, nia na madhumuni ya yeye kuwa na boifrendi ni nini? Amependa? Au anataka kutolewa bikira?

my
dear,sasa
hujaelewa,nini
apo?kwani
wewe
mkeo/mumeo
hamkuanza
na,urafika
kwanza?
 
Hao wanataka kupita tu.hakuna ndoa.stuka.kimbia kilometa million.au huelewi tu?.
 
Kiukweli wanaume mpaka tunafika above 25 wengi wetu tunakuwa tumeshaumiza wadada wengi na nafsi inatusuta mara nyingi, so tunapokutana na mdada mstaarabu sana na unamdodosa her past unagundua ni bikra kwa maelezo yake lazima usepe kama unataka kupita tu na kuondoka as unajua ukitembea nae ukaja kumwacha ataumia sana na machozi yake yatakuletea mikosi kwenye maisha so kujiepusha na karaha za machozi ya mtu kama huyo kimya kimya unasepa, mimi nimeshakutana na dada kama huyo mwaka jana kutokana na maelezo yake ni bikra, mimi nikapunguza spidi na kujifanya busy sana, yaani kila siku getin kwetu madogo wanamdanganya sipo, kuna siku akasema haondoki hadi anione ikabidi nitoke na akanibana sana kwa nini namfanyia hivyo, ikabidi nimdanganye I am not ready for relationship now sina feelings kabisa kutokana na matatizo kazini na ratiba tight, yaan hadi kunielewa ilikuwa balaa na hapo sikummega sasa ningemmega si ingekuwa vita kabisa,

Kama mwanaume nina vigezo vyangu vya potential candidate so ninapokutana na mdada toka awali na vigezo vyangu havipo najua kabisa sitadumu nae na sitamuoa napenda asiwe decent sana as hata tukiachana hakuna majonzi sana, I like experienced ladies in a short term relation
 
uwiiiiiiii my ribs! lis hiyo ndio sifa nzuri kwa mdada yeyote mwaya, usiitoe kwa kidole wala mtwangio halisi. atatokea tu ambaye atakuthamini na kuithamini. so vumilia muda bado. take care.

26 yrs, muda bado ee? kwa mwanamke! Utazeeka nayo.
 
Kiukweli wanaume mpaka tunafika above 25 wengi wetu tunakuwa tumeshaumiza wadada wengi na nafsi inatusuta mara nyingi, so tunapokutana na mdada mstaarabu sana na unamdodosa her past unagundua ni bikra kwa maelezo yake lazima usepe kama unataka kupita tu na kuondoka as unajua ukitembea nae ukaja kumwacha ataumia sana na machozi yake yatakuletea mikosi kwenye maisha so kujiepusha na karaha za machozi ya mtu kama huyo kimya kimya unasepa, mimi nimeshakutana na dada kama huyo mwaka jana kutokana na maelezo yake ni bikra, mimi nikapunguza spidi na kujifanya busy sana, yaani kila siku getin kwetu madogo wanamdanganya sipo, kuna siku akasema haondoki hadi anione ikabidi nitoke na akanibana sana kwa nini namfanyia hivyo, ikabidi nimdanganye I am not ready for relationship now sina feelings kabisa kutokana na matatizo kazini na ratiba tight, yaan hadi kunielewa ilikuwa balaa na hapo sikummega sasa ningemmega si ingekuwa vita kabisa,

Kama mwanaume nina vigezo vyangu vya potential candidate so ninapokutana na mdada toka awali na vigezo vyangu havipo najua kabisa sitadumu nae na sitamuoa napenda asiwe decent sana as hata tukiachana hakuna majonzi sana, I like experienced ladies in a short term relation

Naomba namba ya huyo decent wa watu,uliemsimamisha mlangoni.nawapenda cna mimi.
 
kiukweli wanaume mpaka tunafika above 25 wengi wetu tunakuwa tumeshaumiza wadada wengi na nafsi inatusuta mara nyingi, so tunapokutana na mdada mstaarabu sana na unamdodosa her past unagundua ni bikra kwa maelezo yake lazima usepe kama unataka kupita tu na kuondoka as unajua ukitembea nae ukaja kumwacha ataumia sana na machozi yake yatakuletea mikosi kwenye maisha so kujiepusha na karaha za machozi ya mtu kama huyo kimya kimya unasepa, mimi nimeshakutana na dada kama huyo mwaka jana kutokana na maelezo yake ni bikra, mimi nikapunguza spidi na kujifanya busy sana, yaani kila siku getin kwetu madogo wanamdanganya sipo, kuna siku akasema haondoki hadi anione ikabidi nitoke na akanibana sana kwa nini namfanyia hivyo, ikabidi nimdanganye i am not ready for relationship now sina feelings kabisa kutokana na matatizo kazini na ratiba tight, yaan hadi kunielewa ilikuwa balaa na hapo sikummega sasa ningemmega si ingekuwa vita kabisa,

kama mwanaume nina vigezo vyangu vya potential candidate so ninapokutana na mdada toka awali na vigezo vyangu havipo najua kabisa sitadumu nae na sitamuoa napenda asiwe decent sana as hata tukiachana hakuna majonzi sana, i like experienced ladies in a short term relation

signs of playboys.watch out girls.huyu kajielezea vizuri sana.
 
hio mambo wengine si ishu tena-maana hoja ya bikra kwa sasa ni ndogo sana-si wote wanaipa uzito kama wzee wa enz za miaka ya 50-by the way zipo hata za kununua ndo maana kwa kizaz cha sasa si breaking news tena
 
my
dear,sasa
hujaelewa,nini
apo?kwani
wewe
mkeo/mumeo
hamkuanza
na,urafika
kwanza?

nia na madhumuni ya kuwa na hao mabf ni nini?
Maana ili umkubali mwanaume si inabidi ujiridhishw kuwa anakupenda? Ujiridhishe kuwa unampenda? Na mwanaume anayekupenda atakuacha?
 
SIDE A.....Nadhani hiyo bikira unaiweka mbele sana kama ndio kila kitu mpaka una-loose touch ya wewe ni nani na unatakiwa ku-play yourself katika hivyo videti vyako....Don't make that loose vestigial skin a big deal and a leverage/ticket to relationship life...be yourself and play normal....when you feel its right time to loose it get over it.......beside its ain't fun to play bloody with newcomers in adults game.....

SIDE B: Hao wanaokimbia hawako tayari kuji-commit kwako kwa hiyo wanaona ni unfair wao kukutolea usichana wako, hivyo endelea kuwa makini, ambae yuko tayari hata kimbia bali atakuganda na ndio atakuwa wako na atavunja kibubu......
 
Back
Top Bottom