Mama Mwana JF-Expert Member Jun 6, 2023 1,217 3,898 Mar 8, 2024 #1 Hellow friends, naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na hii kitu
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,685 68,664 Mar 8, 2024 #2 Kwanza ungeelezea UTT AMIS ni nini? Siyo wote wanajua hiyo kitu. Ukielezea maana yake inawezekana mtu mwingine akakupa general concept jinsi ya kujiunga kwasababu procedure ni the same.
Kwanza ungeelezea UTT AMIS ni nini? Siyo wote wanajua hiyo kitu. Ukielezea maana yake inawezekana mtu mwingine akakupa general concept jinsi ya kujiunga kwasababu procedure ni the same.