MSAADA: Wapi nitapata mizani ya kidigitali kwaajili ya kupimia mazao mpaka kilo 150?

Upo wapi? Kama dar nenda kkoo. Au mchinga complex jamaa wa Pembejeo wanayo. Bei 150k
 
Back
Top Bottom