naomben iushauri wapendwa

Bazazi serious sikuchukii wewe ila nachukia sana comments zako tena mungu akusamehe sana wala asije patiliza dhambi hizi kwa watoto watokao kwenye viuno vyako.Binafsi sishabikii ushoga, usagaji na ufiraji to me these are dhambi kubwa

Hongera sana. Sasa jina langu linakupa shida gani kwani jamani?

Hoja yangu katika mchango wako ni kudai kuwa wanaume hawawezi kazi ya kuvunja KUFULI kwa MwanaMwali mpya (sio Mgeni). Nilichokujibu kuwa PUNYETO inamalizia hamu mnayoshindwa kuimaliza. Unakutana na mdada mbichi kama 25yrs HIVI. lakini kunako majombozi hana pumzi kabisa unaishia kugonga tugoli tuwili tu tena kwa mchana/ucku mzima. MyDear safari hii sikukushambulia, soma kati ya maneno utanipata. Nilichofanya ni mchezo wa maneno tu kupunguza ukali wa maneno.

Karibu!-Bazazi ni Bazazi!
 
Csta Lis, yakupasa ujue katika hii dunia hakuna alie wahi kuishi akiwa anafanana na wewe hapo kabla ya wewe na hata baada ya wewe hakuna atekae kuja wa kufanana na wewe ingawa wanaweza kufanana na wewe ila hawata kua wewe. Wapo watakao ponda kwa hali hio ulio nayo na wapo watakao kupongeza pia, ila katika uhalisia hiyo ni tunu ya pekee ambayo wanawake wenye kuthamini utu wao walikua wanaitamani kua nayo hadi katika level flan ya malengo yao, ila ilipote kwa sababu tofauti tofauti zingine zikiwa kinyume kabisa na malengo yao nazingine ndani ya malengo yao yaliyojengwa kwa ushawishi mkubwa wa watu wengine. Ila itategemeana na malengo yako, waweza kuiza kwa bei ya chini au uka subiri hadi pindi itakapo fikia thamani yake ya juu zaid kipindi cha ndoa.
Najisikia huzuni nnaposikia unahuzunika pale wavulana wanapokuja na kuondoka kisa wewe ni bikra, hakuna ajuae lijalo hata baada ya sekunde moja ijayo. Inaweza kua hao wanaoondoka hujui umeepushwa na nini, wengi ni kamata nichinje nyama utauza mwenyewe na wengine ni uoga wao binafsi, huwezi jua. Ingawa najua unaweza kua unajiskia huzuni kwa kuachwa namna hiyo na ukahisi unadosari au kuna sehemu unakosea ila jua kua likitokea kisha likakamilika ndivyo lilivyo takiawa liwe, na kadri giza linavyozid ujue jua limekalibia. Yakupasa uwe na matumaini kua kunasababu ya wewe kua hivyo hadi wakati huu na hao wakuja na kuondoka. Jiamini kua mpaka sasa uko sahihi na hali hiyo ulio nayo nibora zaid.. Binadamu tuko tofauti kila mtu anamawazo yake ambayo yanamwongoza anakua anamaamzi tofauti na wengine. Uzaifu wa hao usigeuke na kuutazama kama ndio wako,Yakupa ujue walio wengi katika dunia ya sasa hawauwamini ukweli nakuusadiki uwongo zaidi, yakupasa ujue pia ukweli hauna mwisho ila mwisho wa uongo niaibu. Simama katika kweli yako nao utakuweka huru. Kama unata wakukuondoa bikra jua yupo anakuja kutokana na matakwa yako,kama ni mmeo au just boyfr anakuja na siku ikitimia wala huto umiza kichwa. Ila jamii inapenda umsubir mmeo, em isikilize!..
 
Utakapo pata mwanaume mwenye akili akakuoa utajua thamani ya kuolewa ukiwa bikra. Ila hata utakapopata kuolewa endelea kuwa na mume wako tuu na isijekuwa ndo fungulia mbwa. Ukaanza kugawa kama njugu na kuona ulichelewa uhondo, akikuonya unaanza eeh! ulinikutaje! kujitunza sikuanza leo. Hivyo unatakiwa kuwa mwaminifu kabla na baada ya ndoa. Hongera sana dada!
 
Back
Top Bottom