Naomba wajuzi mnijuze

NG'WANONE

Member
Dec 20, 2010
51
3
Naomba wajuzi mnijuze, ni vp naweza tengeneza Letter Head ya kibiashara changu, nataka niweke na log katika letter head hiyo. Naomba msaada wenu.

Nawasilisha, Asante
 
Naomba wajuzi mnijuze, ni vp naweza tengeneza Letter Head ya kibiashara changu, nataka niweke na log katika letter head hiyo. Naomba msaada wenu.

Nawasilisha, Asante
hata mimi natafuta huo ujuzi aisee anayejua atusaidie,natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom