Vladmir Putini
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 777
- 1,442
Wanajukwaa habarini za wakati huu.
Poleni kwa majukumu.
Nilikuwa naomba msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya hapa kwetu Tanzania.
Nataka niende ughaibuni (taifa X huko America kaskazini) nikajitafte kidogo na huko maana bongo land kwetu wanga wamekuwa wengi (natania 😅)
Naamini humu kuna wajuzi wa haya mambo, hivyo naomba msaada huo katika namna hii 👇
1.Ni vigezo vipi natakiwa kuwa navyo ili nipewe hiyo VISA.
2.Gharama ya kuipata hiyo visa (kwa pesa za kitanzania).
3.Itaweza kuchukua muda gani (kwa kukadiria) tangu niombe ndiyo niipate.
4.Naanzia wapi (natakiwa kwenda ofisi zipi/wizara gani) ili niombe hiyo Visa.
Karibuni wajuzi.