.
watch your keyboard
<br />Tatizo wengi huingia katika mapenzi bila kujua lengo la kuwa wapenzi. Kama hamna future ya mapenzi yenu hili sio la ajabu kabisa. Kwa ushauri wangu usije kufanya tena kosa kama hili.
Kaona kuna kitu hapo hawezi kukirekebisha hata baada ya kurudisha penzi upya. Yaani kuna upungufu ameuona na unao toka mwanzo ila hapo kati alirudisha mapenzi aone kama itarekebishika ila kaona hakuna kitu bora ajiondoe mapema
Lakini mimi nilimwita nikamwambia kwa ustarabu kabisa na bado akakataa, kinachoniumiza mimi ni kwanini hakuniita kama mimi nilivyofanya awali badala yake from nowhere akanicall kwamba mimi na yeye basi. Anyway asante kwa usahuri!
Nilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.
Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.
Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.
Nishaurini nifanye nini
Umemjibu vizuri mnoKwanza Kuachwa kunauma. hata kama unataka kumuacha mtu leo, ukampigia simu ili umwambie tuachane alafu yeye akakuwahi kusema muachane, roho inauma na unatamani uahirishe muendelee, ili uje umuache yeye...
Pili "hakukupotezea muda kwa three years" bali amekupa experience ya kwenye mapenzi ya miaka mitatu, next time you will be better
Tatu "what goes around comes around" na hakuna msiba usio na mwenzie. Wewe ulivyompata huyo "ulimuacha" uliyekuwa naye. Uliyemuacha aliumia kama unavyoumia wewe. Nasita kusema kuwa "mkuki kwa nguruwe....", but mapenzi is just like flowers, leo lachanua kesho lanyauka, maisha yanasonga mbele...
ni miaka saba sasa nahisi utakuwa ushaolewaNilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.
Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.
Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.
Nishaurini nifanye nini
Mungu hajaruhusu mpotezee tu mkuuNilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.
Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.
Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.
Nishaurini nifanye nini
Pambana na hali yako sababu uliacha mbachao kwa msala upitao na hii mara nyingi husababishwa na tamaa zenu wanawake hasa kwenye masuala ya fedha.Nilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.
Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.
Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.
Nishaurini nifanye nini
Duh! wanaume?!Kaona kuna kitu hapo hawezi kukirekebisha hata baada ya kurudisha penzi upya. Yaani kuna upungufu ameuona na unao toka mwanzo ila hapo kati alirudisha mapenzi aone kama itarekebishika ila kaona hakuna kitu bora ajiondoe mapema
Daaah kweli dada umechanganyikiwa mpaka ushauri unasema usahuriLakini mimi nilimwita nikamwambia kwa ustarabu kabisa na bado akakataa, kinachoniumiza mimi ni kwanini hakuniita kama mimi nilivyofanya awali badala yake from nowhere akanicall kwamba mimi na yeye basi. Anyway asante kwa usahuri!