Naomba ushauri

Nilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.

Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.

Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.

Nishaurini nifanye nini
Pole, ila kubali matokeo na ufute kabisa hiyo makitu kwa kichwa coz huyo mutu ana akili za kitoto. Kamtafutie pampers umtumie kwenye gift paper na umtakie safari njea huko aendako.
 
Nilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.

Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.

Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.

Nishaurini nifanye nini
Katika maisha ya mapenzi hakuna kitu kibaya kama kuachwa. Ulipomtangazia kuachana ilimuuma (kama inavyokuuma wewe sasa) hivyo akatumia akili kuhamisha maumivu. Na kweli alifanikiwa sana - kwa hilo nampongeza.
Pole sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom