Naomba ushauri wa haraka, nimewafumania wanangu!

zis iz new generation.kuna kitoto kinaitwa jose cha miaka4 kilikuwa kinawashughulikia watoto watatu wa kike daily tena kwa zam na hata kakichapwa kalikuwa hakasikii.mwisho wa siku mama mwenye vibint viwil mapacha aliamua kupeleka wanae iringa.
 
Kwa hiyo walikuwa wanageuzana!!!!?? Mwenyezi Mungu tunusuru waja wako katika kizazi hiki cha nyoka. Inavyoonyesha hao watoto wameanza muda mrefu sana huo mchezo. Mwambie atumie busara kutatua hilo jambo mapema.
 
ouch! 8-11 y.o. this is what happens when you don't hide your p.o.r.n properly. On a serious note
->separate them and send the 3rd boy away
->tell the brothers the effects and they'll stop
->get them involved in physical activities e.g. sports, gardening to keep em busy.
->monitor their performance in school, see how they interact with girls n boys. Don't send them to boarding
->hope/pray it works

I hope you'll be able to move on. It's sad as they're too young to have any kind of s.e.x.
 
Wana JF,

Kuna jirani yangu, mdada wa makamo ana watoto wawili wa kiume wa kuzaa mwenyewe na mmoja wa kiume wa ndugu yake anaishi nao huko boko. Amewafumani jana wakiwa wanafanya mchezo mchafu kwa zamu. Umri wao ni kati ya miaka 8 mpaka 11.

Anaomba ushauri juu ya nini cha kufanya maana anaona ibilisi mbaya ameingilia familia yake. Mawazo yake ni kuwa awatenganishe, kuwahamisha shule au awapeleke boarding au .....

Ni urgent unahitaji ushauri wa haraka.

HP
Kuwapeleka boarding sio solution. Kikubwa hapa ni kuwaelimisha hawa watoto wapate kufahamu ni kosa kufanya hivyo na kuwaadhibu pia kusudi kesho na keshokutwa wajue ni kosa. Ukiwapeleka boarding mbona nako ni sawa tu wanaweza wakaendeleza halafu ikawa balaa. Mzazi aombe msaada wa watu wazima wakae na watoto wawaelimishe. Ni wazo tu.
 
Ndugu, poleni kwa masahibu.
Aisee, hao watoto wanahitaji kitu kimoja tu! Msaada wa KIROHO!!
Wazazi nao kadhalika ili wajue wamekosea wapi. Wanahitaji kuwatia hofu ya Mungu, wajue wanachofanya hakikubaliki kiasi gani. Ni-pm kwa namba ya counselor wa kikristo. Kama ni waislamu nadhani utapata directives humu. Waambie hao wazazi, kama hawakuwahi kuwa karibu na Mungu, wakati ni sasa!
 
Kizazi kimepotoka. hata huko boarding inawezekana haya mambo yapo. hapa maombi na kuzungumza nao ni muhimu.
 
awapeleke polisi wakale mikwaju taaslim.. Halafu awatenganishe.. Tena if pocbo awapeleke kwa ndugu wa vijijini kabisa iwe kama adhabu kwao... All in all.. Angalia na chanzo.. S'tymz watoto hu'reflect kwa wazazi wao, kibaya umfanyiacho mwenzio akaumia nawe kitakurudia siku moja uumie pia

Hiyo bold...samahani...sidhani kama kwenda kwa ndugu vijijini inatakiwa kuwa adhabu!

Hili tatizo linazidi kukua siku hadi siku hasa kwenye makazi yenye misongamano - hapa malezi huwa magumu sana maana vijana wanachanganyika na kujifunza mambo mengi hasa mabaya. Tabia yoyote ile hujengwa taratibu... huyo mama mwenye watoto alichelewa sana kuwatambua na kuwaelekeza watoto kilicho kibaya na kilicho chema.Kinachopaswa kwa sasa ambapo mambo yameshaenda kubaya ni kujaribu kuwarudi watoto wake kwa upendo tu.Akae nao, aongee nao na kuwafahamisha ubaya na madhara ya kitendo kile kwa mapana yake kuanzia imani zao za dini, maadili ya kijamii na madhara kwa vijana wenyewe.Maongezi hayo yaanze na yeye mzazi, asishirikishe watu wengine kwanza maana vijana watakata tamaa, na kujisikia wakosaji wasioweza kurekebishika.Pia mama awatafutie vijana shughuli za kufanya badala ya kuwaacha idle, na pia wasilale pamoja watenganishwe.
 
Huyo mtoto anastahili pongezi kaonyesha urijali mapema sana ingekuwa mi ndio mzazi ningempongeza kimyakimya
zis iz new generation.kuna kitoto kinaitwa jose cha miaka4 kilikuwa kinawashughulikia watoto watatu wa kike daily tena kwa zam na hata kakichapwa kalikuwa hakasikii.mwisho wa siku mama mwenye vibint viwil mapacha aliamua kupeleka wanae iringa.
 
zis iz new generation.kuna kitoto kinaitwa jose cha miaka4 kilikuwa kinawashughulikia watoto watatu wa kike daily tena kwa zam na hata kakichapwa kalikuwa hakasikii.mwisho wa siku mama mwenye vibint viwil mapacha aliamua kupeleka wanae iringa.

Itakua vipi ikaja tokea hako Ka'Jose kameiba pesa then kakasafiri kwenda Iringa ? Jf tutalendemkaje ?
 
awapeleke polisi wakale mikwaju taaslim.. Halafu awatenganishe.. Tena if pocbo awapeleke kwa ndugu wa vijijini kabisa iwe kama adhabu kwao... All in all.. Angalia na chanzo.. S'tymz watoto hu'reflect kwa wazazi wao, kibaya umfanyiacho mwenzio akaumia nawe kitakurudia siku moja uumie pia

Hii watu huwa hawaijui kabisa nafikiri hata hawaamini lakini ipo na inakuja kutokea baadae sana wakati ulishasahau
 
Mhhh sina cha kusema kwa sas,roho imeniuma mpaka basi,mpe pole sana..
 
Mmmh!!!!!!! ina maana hata watoto wameanza ucameron? tumekwisha
 
I think ndo madhara ya utandawazi coz hat young sis wangu aged 6 alishafanya lesbian sex huko shulen kwao yaaaani dunia cjui inaenda wap
 
mmh Mungu turehemu ,mi sikubaliani na waliosema wapelekwe kijijini kwa sababu kijijini nako kuna watoto ina maana wataendeleza******* mi naona watulie waongee nao kwa upendo na kuelezwa madhara ya wanachokifanya kwani mtoto wa miaka nane hajui anachofanya
 
Tandika sana stick za kufa mtu. Yaani pakaa pilipili halafu kazi ianze mpaka uhisi wanakaribia kuzimia/kuzirai/kufa.

Ila inabidi utafute dawa za kuchua mikono maana nawe utaumia tu.
 
Back
Top Bottom