Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

Nilidhani hivyo kama wewe na kujaribu kuita mafundi (zaidi ya mmoja) ila tatizo lipo
Ukila kitimoto pakaza mafuta yake kwenye bawaba na fungia mifupa juu ya mlango, zaidi kojolea kizingiti cha mlango uone kama hiyo hali itaendelea. Ikiendelea bhasi jua ni hali ya mlango tu na upepo na si ishu za vigagula
 
Hili ni tatizo la kiufundi tu,

Nadhani ni kwenye mambo ya hinges, pia kitasa chako kibovu hakifungi mpaka utumie ufunguo....(nadhani)

Mimi mwenyewe mlango wangu upo hivi hivi

Pendaelli hii imekaaje?
ni tatizo la kiufundi nadhani, atafute fundi na aina hizo za bawaba, nadhani halitajirudia hilo tatizo, lakini gharama kiasi itahitajika
 

Attachments

  • amazing(MP4).m4v
    4.7 MB
Na wewe jifanye ndio zaidi
Saga makaa mwaga mlangoni, ukipata panya kafa njiani muweke mlangoni kama kuna mifupa ya kuku imebaki weka hapo
Yaani jifanye wewe ndio mchawi zaidi
Ataona daa hii sumbawanga kabisa
Sijawahi fanya hizo Imani na siziamini naamini sana science ila kila law nayoitumia hai apply
 
Leo nimekwama wazee sio mtu wa kuomba ushauri au mawazo lakini yakikufika yamekufika.

To cut the long story shot . Nimehamia mkoa wa Mbeya sio mda sana nina mwezi mmoja . Niko na project flani inayoniweka mkoa huu kwa mwaka mmoja , nilikua na option ya kukaa hoteli ,lodge au gesti lakini nikaamua kupanga. Hapa nilipopanga Kuna chumba(masta) , sebule na jiko na public toi.

Kimbembe kilo kwenye hili JIKO mazee , na kimbembe chake ni MLANGO , huu mlango unatabia TATA , unajifunga na kujifungua unavyotaka ,Sometimes unajibamiza kabisa to take in to account hakuna upepo hakuna nini na dirisha nimefunga kabisa na kuweka lock . Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .

Nimejaribu kupotezea ila sasa naona imekua too much , mimi ni mtu wa vyombo kiasi so nimekua nikiumwagia maji ya uzima kutuliza hio tabia yake lakini bado ipo . Mimi sio mtu wa dini kihivyo nimekengeuka kidogo japo nimetoka Familia ya dini.

Ushauri ninaoomba : hichi ni nini na nifanye nini kukikabili maana imevuka mipaka . NAOMBA USHAURI +Ve
Unakaa mtaa gani kiongozi?
 
Back
Top Bottom