Wamekula tu posho . Tatizo lipoMafundi wakasemaje?
Asante hujatoa ushauriPole Sana.
Wamekula posho bila kusema chochote?Wamekula tu posho . Tatizo lipo
Ukila kitimoto pakaza mafuta yake kwenye bawaba na fungia mifupa juu ya mlango, zaidi kojolea kizingiti cha mlango uone kama hiyo hali itaendelea. Ikiendelea bhasi jua ni hali ya mlango tu na upepo na si ishu za vigagulaNilidhani hivyo kama wewe na kujaribu kuita mafundi (zaidi ya mmoja) ila tatizo lipo
ni tatizo la kiufundi nadhani, atafute fundi na aina hizo za bawaba, nadhani halitajirudia hilo tatizo, lakini gharama kiasi itahitajikaHili ni tatizo la kiufundi tu,
Nadhani ni kwenye mambo ya hinges, pia kitasa chako kibovu hakifungi mpaka utumie ufunguo....(nadhani)
Mimi mwenyewe mlango wangu upo hivi hivi
Pendaelli hii imekaaje?
Unanitisha mzee baba sikuwahi kuliwaza hili asanteUnakaa na mtu, na huko jikoni ndo chumba chake.
Hili nimeshalifanya halikusaidiaHakuna chochote hapo tafuta fundi aurekebishe
Sijawahi fanya hizo Imani na siziamini naamini sana science ila kila law nayoitumia hai applyNa wewe jifanye ndio zaidi
Saga makaa mwaga mlangoni, ukipata panya kafa njiani muweke mlangoni kama kuna mifupa ya kuku imebaki weka hapo
Yaani jifanye wewe ndio mchawi zaidi
Ataona daa hii sumbawanga kabisa
Nipo Veta CCMMkuu hiyo ni kambi ya wenyewe, ushauri usiufunge kabisa mpo wengi hapo, unawaudhi kurudishia mlango kila mara kama vile uko peke yako. Mitaa gani hapo mbeya?
Pole.Nipo Veta CCM
Hapana mkuu labda nimefanya kosa la kiufundi ?Baada ya kufika uliwasalimu wazee wa hapo kwa nidhamu
New ID 2015Joined 2015
Yeah.Ushauli wangu wewe ni mpumbavu. Siutafute fundi, milango samtimes ata ukifunga na funguo unakuta uko wazi tatizo zinakuwa bawaba zimechoka au zinataka Gris.
Mkuu hiyo ni kambi ya wenyewe, ushauri usiufunge kabisa mpo wengi hapo, unawaudhi kurudishia mlango kila mara kama vile uko peke yako. Mitaa gani hapo mbeya?
Unakaa mtaa gani kiongozi?Leo nimekwama wazee sio mtu wa kuomba ushauri au mawazo lakini yakikufika yamekufika.
To cut the long story shot . Nimehamia mkoa wa Mbeya sio mda sana nina mwezi mmoja . Niko na project flani inayoniweka mkoa huu kwa mwaka mmoja , nilikua na option ya kukaa hoteli ,lodge au gesti lakini nikaamua kupanga. Hapa nilipopanga Kuna chumba(masta) , sebule na jiko na public toi.
Kimbembe kilo kwenye hili JIKO mazee , na kimbembe chake ni MLANGO , huu mlango unatabia TATA , unajifunga na kujifungua unavyotaka ,Sometimes unajibamiza kabisa to take in to account hakuna upepo hakuna nini na dirisha nimefunga kabisa na kuweka lock . Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .
Nimejaribu kupotezea ila sasa naona imekua too much , mimi ni mtu wa vyombo kiasi so nimekua nikiumwagia maji ya uzima kutuliza hio tabia yake lakini bado ipo . Mimi sio mtu wa dini kihivyo nimekengeuka kidogo japo nimetoka Familia ya dini.
Ushauri ninaoomba : hichi ni nini na nifanye nini kukikabili maana imevuka mipaka . NAOMBA USHAURI +Ve
Wametumia kobiro and the likes kupima kila kitu kiko Sawa. Akiondoka unampa posho ya kumuitaWamekula posho bila kusema chochote?
Haya sawa.
Huoko ni noma sana.Hii itakuwa isyesye😀,