shokoshugi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 212
- 267
Leo nimekwama wazee sio mtu wa kuomba ushauri au mawazo lakini yakikufika yamekufika.
To cut the long story shot . Nimehamia mkoa wa Mbeya sio mda sana nina mwezi mmoja . Niko na project flani inayoniweka mkoa huu kwa mwaka mmoja , nilikua na option ya kukaa hoteli ,lodge au gesti lakini nikaamua kupanga. Hapa nilipopanga Kuna chumba(masta) , sebule na jiko na public toi.
Kimbembe kilo kwenye hili JIKO mazee , na kimbembe chake ni MLANGO , huu mlango unatabia TATA , unajifunga na kujifungua unavyotaka ,Sometimes unajibamiza kabisa to take in to account hakuna upepo hakuna nini na dirisha nimefunga kabisa na kuweka lock . Huu mlango nikiufunga na funguo hakuna matata ,issue tu nikiuacha wazi au nikiurudishia .
Nimejaribu kupotezea ila sasa naona imekua too much , mimi ni mtu wa vyombo kiasi so nimekua nikiumwagia maji ya uzima kutuliza hio tabia yake lakini bado ipo . Mimi sio mtu wa dini kihivyo nimekengeuka kidogo japo nimetoka Familia ya dini.
Ushauri ninaoomba : hichi ni nini na nifanye nini kukikabili maana imevuka mipaka . NAOMBA USHAURI +Ve