Naomba Msaada Wenu!

Tanzania 1

Senior Member
Oct 4, 2007
197
24
Nimei-format hard disk yangu, lkn sasa inanionesha kuwa ina capacity ndogo mno! Some kilobytes badala ya 40GB!! Yaani, siwezi kuingiza hata program moja!

Nifanye nini kui-restore ktk capacity yake? Au inamaanisha kuwa HD hiyo haiwezi kufanya kazi tena?

Natanguliza shukran zangu.

T-1
 
..kama unaweza kukumbuka, elezea step by step ulichofanya mpaka ukajikuta hapo.

..halafu toa specifications za hiyo pc yako pamoja na os yake. au unaongelea external hd?

..
 
..kama unaweza kukumbuka, elezea step by step ulichofanya mpaka ukajikuta hapo.

..halafu toa specifications za hiyo pc yako pamoja na os yake. au unaongelea external hd?

..

Pole T-1,

DsL, nahisi T-1 ametumia MS DOS za zamani zilizokuwa na limitation kuformat hdd. Anyway, kama ulivyosema maelezo zaidi yatasaidia.

T-1, naomba useme ni software gani umetumia kuformat hiyo hdd. Ahsante.

SteveD.
 
Nimei-format hard disk yangu, lkn sasa inanionesha kuwa ina capacity ndogo mno! Some kilobytes badala ya 40GB!! Yaani, siwezi kuingiza hata program moja!

Nifanye nini kui-restore ktk capacity yake? Au inamaanisha kuwa HD hiyo haiwezi kufanya kazi tena?

Natanguliza shukran zangu.

T-1

Tumia Partition magic itakuonyesha Raw ambayo imejificha then uta i-format na ku-resize hiyo partition mpaka utakavyo penda not beyond 40gb.
 
Tumia Partition magic itakuonyesha Raw ambayo imejificha then uta i-format na ku-resize hiyo partition mpaka utakavyo penda not beyond 40gb.

..partition magic ni tool moja nzuri sana katika kucheza na partition za hdd.

..hata hivyo, it should be used with care!

..hiyo nafasi iliyobaki [kama kweli iko ndogo kiasi hicho] inanipa wasiwasi kama ataweza ku-install hiyo pmagic.

..kama ataweza aingofoe hiyo hdd na akai-format kwenye pc nyingine
 
How to Format a Hard Drive With Windows XP How to Format a Hard Drive With Windows XP | eHow.com

Geek to Live: How to format your hard drive and install Windows XP from scratch Geek to Live: How to format your hard drive and install Windows XP from scratch

How to partition and format a hard disk by using Windows XP Setup program How to partition and format a hard disk by using Windows XP Setup program

How To Format a Computer Using a Windows XP disc Format Windows - How To Format a Computer Using a Windows XP disc

Reformatting Your Computer Using Windows XP Reformatting Your Computer Using Windows XP - ITS Help Desk - The University of Iowa
 
Back
Top Bottom