Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,456
- 31,024
- Thread starter
- #21
Mkuu nisaidie Sheria inasemaje maana huu ni mwaka wapili notice ya mdomo wamegoma kutoka.Haupo siriazi
Siku zote hakuna mpangaji jeuri mbele ya mwenye nyumba
Hao ni wapangaji sio nduhuzo
Kitendo cha mpangaji kutolipa kodi tayari keshajifukuzisha sijui unasubiri nii zaidi ya kuwaandikia notisi ya kuhama
Inaonekana mzembe sana