Muzii
Senior Member
- Apr 13, 2010
- 168
- 73
Heshima kwenu wakuu. Naomba kufahamishwa gharama za uagizaji gari ambalo bei ya kununua na kusafirisha hadi bandari ya DSM ni USD 4,970 ambayo kwa kubadirisha na fedha yetu ya madafu kwa kiwango cha Tsh 1,650 inakuwa kiasi cha Tsh 8,200,500/= gari ni la mwaka 1995 lina cc 2,500. je gharama ya Dumping itakuwa kiasi gani kwa vile limezidi miaka 10. Natanguliza shukrani.