Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,503
Don't pretend in Life. Just keep it Truth keep it Real!!!.Whatsup guys, jamani mimi ni mwanaume mwenye miaka 26 nimepata mwanamke wa kizungu from Australia ananipenda saana mpaka naogopa na pia ananisaidia saana baadhi ya mambo kama kuna kipindi nilipata financial crisis alinisaidia saana.ananipenda saaana ila kiukweli mimi simpendi kivileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Yeye ana miaka 27 i mean she is real independent woman kiukweli hajawaji jiomba pesa hata siku moja mpaka mimi najishtukia namnunulia vitu ambavyo najua anavipenda saana i cant mention them here iam very sorry
What i ask from you guys ni kwamba experince ya kuishi na hawa watu mbeleni sita kuja kuregret because siwezi kumwacha ananipenda saana napia nimeishi nae mwaka mmoja sasa na sijawahi kumcheat hata siku moja just feeling very guilty kwa the way alivyokuwa ananipenda na kunithamini.
Please naomba ushaurii kutoka kwenu please and please kwa wale wenye wake wazungu na wame wazungu naombaexperince yeni ili nisije kujuta kutokana namaamuzi nilioamua ya kukubali kumuoa nimekuwa nakwepa saana akiniambia ila imebidi nimkubalie twende kwa wazazi wake wako Canada kikazi wanaishi huko Toronto ila ila asili yake ni australia queensland
Maisha sio Tamthilia.
Live the way you are. Live to the fullest.
Caring Lesa about her nativeness.
Huyo "Ke" akukubali just the way your are. Not because your Tanzanian.
Not because of your nation or Color and so on....
Good newz, uhusiano wenu ni wa Umoja wa mataifa (UN).
Tanzanian vs Australian.
U-Australian wake hauna ishu zaidi ya Love and openness between the two of you.
Sent using Jamii Forums mobile app