funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,582
- 21,095
hizo ndio raha za kuoa watz, pressure inapanda pressure inashuka na mnaenda mpk kifo kitakapowatenganishaWe ach tu, leo nimeanzishiwa timbwili timbwili kisa kuna mdada wa kazini kwetu kapost picha FB ambazo tulikwenda team building, si aka nitag, kosa ni pale nilipo like picha ambazo nilikuwa zero distance nae tu.
Yani hawa wanawake sijui.................