Naomba experience ya kuishi na mwanamke wa kizungu(from Australia) jamani please naomba sana

Obadiahmayunga

Senior Member
Sep 19, 2014
163
109
Whatsup guys, jamani mimi ni mwanaume mwenye miaka 26 nimepata mwanamke wa kizungu from Australia ananipenda saana mpaka naogopa na pia ananisaidia saana baadhi ya mambo kama kuna kipindi nilipata financial crisis alinisaidia saana.ananipenda saaana ila kiukweli mimi simpendi kivileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Yeye ana miaka 27 i mean she is real independent woman kiukweli hajawaji jiomba pesa hata siku moja mpaka mimi najishtukia namnunulia vitu ambavyo najua anavipenda saana i cant mention them here iam very sorry

What i ask from you guys ni kwamba experince ya kuishi na hawa watu mbeleni sita kuja kuregret because siwezi kumwacha ananipenda saana napia nimeishi nae mwaka mmoja sasa na sijawahi kumcheat hata siku moja just feeling very guilty kwa the way alivyokuwa ananipenda na kunithamini.

Please naomba ushaurii kutoka kwenu please and please kwa wale wenye wake wazungu na wame wazungu naombaexperince yeni ili nisije kujuta kutokana namaamuzi nilioamua ya kukubali kumuoa nimekuwa nakwepa saana akiniambia ila imebidi nimkubalie twende kwa wazazi wake wako Canada kikazi wanaishi huko Toronto ila ila asili yake ni australia queensland
 
Wazungu ndugu yangu, unaweza kuwaowa tu kama wewe dini yako inaruhusu talaka na remarry.

Ila kama we ni mkatoliki na mlokole, inabidi uombe Mungu ifike miaka walau 20 bila talaka, na utaishi kwa machale sana kwa kuogopa kumghadhibisha akaona anaishi na specie inayodharaulika duniani (mwafrica) hivyo akuache ili apumzishe akili.

Wepesi sana kupeana talaka binafsi niko anti-divorce sana katika maisha yangu kwasababu huwa naamini ni dhambi.
 
nakupa experience yangu dogo, wanawake wa kizungu hawapendi kabisa kitu usaliti/cheatings hapa kuwa makini sana, pia hawapendi kupigwa, mnaweza gombana/pishana ila usithubutu kumpiga, hawana uvumilivu hapo, ila uzuri wao ni waaminifu, wavumilivu na pia wakikupenda mwafrika wapo tayari kuishi nawe kwa hali yoyote
 
Pia usionyeshe kama unampenda mtu mwingine kuliko wao (hata kama haujacheat). anataka amiliki upendo wako asilimia zote na yeye atakupatia wake kwa asilimia nyingi zaidi.

Kama hana uhakika kama unamfeel na kuna dalili ameziona, hawana kupoteza muda kama tulivyo sisi huku. ila ninachowapendea, wanaabudu sana maumbile yetu ya chini, kuna myth moja kwamba maumbile yetu makubwa na yana stahimili zaidi kuliko ya watu weupe, sisi tuna nguvu za kiume zaidi kuliko weupe na kwamba hata wakija uzeeni bado sisi tunakuwa na stamina kuliko weupe wakifikia umri huo.

Ndio maana kwamfano wale walioishi London, kama wewe ni mwanaume mweusi ukimdanganya mzungu kuwa umeokea Nigeria au west africa wanakupapatikia sana. hata east african wakiona kidogo kimo, maviganja etc vikubwa, wanakupapatikia na wanakupenda mbele ya weupe mchana kweupe.
 
wazungu ndugu yangu, unaweza kuwaowa tu kama wewe dini yako inaruhusu talaka na remarry. ila kama we ni mkatoliki na mlokole, inabidi uombe Mungu ifike miaka walau 20 bila talaka, na utaishi kwa machale sana kwa kuogopa kumghadhibisha akaona anaishi na specie inayodharaulika duniani (mwafrica) hivyo akuache ili apumzishe akili. wepesi sana kupeana talaka. binafsi niko anti-divorce sana katika maisha yangu kwasababu huwa naamini ni dhambi.
mimi ni mkatoliki tatizo ananipenda saana na ananisaidia saana kutokana na roho yake ndio inasababisha nikubali kumuoa ilakiukwelinawapenda saana waafrika afu sijui kwanini ukiwa na mwanamke mzungu wanawake wanakuwa na shobo hatariiii mpaka ilamimi siwezikabisa kumcheat
 
sasa kama roho yako haimpendi, kwanini unataka kung'ang'aniza? anakudai?
 
Mkuu inabidi uwe
1. Mwaminifu kwa jambo lolote kwake
2. Epuka kumpga au kumnyanyasa au vitu vyovyote vinavyoenda kinyume na haki za binadamu
3. Mwoneshe tofauti eg. Uwe mstaarabu
4. Kwenye mambo yetu yale ya faragha wenzetu wanaamini waafrika tuko fiti hvyo usimdissapoint

Kila la heri.
 
nakupa experience yangu dogo, wanawake wa kizungu hawapendi kabisa kitu usaliti/cheatings hapa kuwa makini sana, pia hawapendi kupigwa, mnaweza gombana/pishana ila usithubutu kumpiga, hawana uvumilivu hapo, ila uzuri wao ni waaminifu, wavumilivu na pia wakikupenda mwafrika wapo tayari kuishi nawe kwa hali yoyote
Wanawake wetu wa Kiafrika wanapenda cheating na kupigwa eeh?
 
1.Lazima umpende rohoni siyo juu juu tu.2 uwe mwepesi kusema I am sorry unapokosea3. Kila unapotoka ni vizuri ukamtaarifu mapema ili kujua unaenda wapi 3. Mwambie unampenda mara kwa mara hata kama mmefunga ndoa miaka kadhaa 4. Mapenzi ya kushikana kwa sana muhogo wa mwisho kabisa akiwa tayari 5. Siku zake za kuzaliwa lazima uandae kabla yeye hajakukumbusha 6. Watoto ni majaaliwa ya mwenyezi mungu mkiwa na bahati mwisho wawili wengine bahati mbaya 7. Mkeo na familia kwanza wengine baadaye 8. Kubali mawazo yake ya kwako baadaye 9. Mengine optional au si muhimu sana. Good luck !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
t

hank you very much
 
Back
Top Bottom