nani valentine wako?

tobycow

Senior Member
Apr 12, 2011
129
13
uko ofisin ndo umepokea hela kidogo,ghafla bi mdashi anakupigia kukwambia umtoe kiasi kidogo cha pesa.dakika chache baadaye unapigiwa simu na ma mkwe kukuomba hela ya kumpeleka mtoto wake wa kwanza hospital amezidiwa sana.je wewe ungemsevu nan?
 
Afrodenzi hivi waelewa ninavyokuwa happy pale napochat nawe... lov nashindwa kuzuia fikra zangu... your make me happy......

Hahahaha acha fujo hizo bana ..
Nipe story za valentine kwanza ..

Mi hiyo avatar yako ndo inanivuta kwako lolz
:)
 
Hahahaha acha fujo hizo bana ..
Nipe story za valentine kwanza ..

Mi hiyo avatar yako ndo inanivuta kwako lolz
:)
Wah wah Si Utani AD Valentine's day me nilikuwa busy kwa sana tu hata nilipofungua jf nikakuta ndio ishajiishia so nikawa mtazamaji tu kwangu imekuwa kibelated belated tu.

But me huwa napenda watu kila siku japo Valentine's day imekaa ki special special, wewe ulipomjibu tobycow kuwa umewatakia wote valentine's day nilifurahi kwani nilijisikia kuwa na mimi nipo kwenye huo mjumuiko... Nikaipa Like ya nguvu...

Umezidi kuniweka happy hapo Avatar yangu umeipenda haha basi me pia niliipenda japo sometime nahisi kahofu furani mtu akiikuza lol...

Avatar yako pia ni poa sana na pia me napenda zaidi Michango yako hadi huwa nafeel kama nipo karibu nawe japo nikivuta hisia zangu sikufananishi na avatar yako but najua kwa aina flan flan upo Poa na vijana sie miaka hii tunatafuta wenzi basi ndio ukisema nami nakuwa happy sana lol...

Napenda uendelee kuwa Rafiki yangu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom