Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Kwa kweli ukoloni uliacha athari kubwa sana kuliko hata tunavyoweza kudhania.
this is a battle between ccm and cdm, christianity and lslam
By common sense huwezi kumlinganisha Mkapa na Mwinyi wala Kikwete, obvious he will have a good command on English pengine na Kiswahili kwa kuwa he was a journalist by trade. Kwa hivyo lugha ni fani yake.
Kuwa mwandishi wa habari hakukupi umahiri wa lugha. Kuna waandishi kibao wa habari ukiwasikia wakiongea au hata ukiona wanavyoandika utashangaa. Mkapa may just have what they call the gift of gab.....though I don't think he does.
Hapa hamna mpambano Mkapa semeni kila kitu lakini kiingereza chake kizuri na hotuba zake moto,
If he was a journalist by trade lugha ni fani na kaisomea na kwa kuwa hupo ugenini i do not need to remind you English literature is one of the difficult majors in universities.
Hapa hamna mpambano Mkapa semeni kila kitu lakini kiingereza chake kizuri na hotuba zake moto,
Na akishajua, iweje? Naomba jibu.
Kazi nyingi zaidi za serikali (majority) zinaendeshwa Kiingereza.
Sera, hukumu, barua za kiofisi, miswada na sheria, elimu, kuanzia kidato cha kwanza mpaka vyuo vya juu, shughuli zote hizi zinafanywa Kiingereza.
Mikataba yote ya nchi sijaona ulioandikwa Kikwere.
Wakati barabara ya Uhuru ilipokuwa inatengenezwa mwaka jana waliweka alama za "detours" kwenye vichochoro vya buguruni kwa Kiingereza. Nikamuuliza konda mmoja, nisaidie, hizo alama na maelezo yanasemaje kaka? Akasema "sisi tunafata magari ya mbele." Kwa hiyo, tutake tusitake, lugha ya mkoloni imetamalaki kila nyanja ya maisha ya nchi hii.
Uchumi wa Tanzania unaendeshwa kitegemezi kwa theluthi moja ya bajeti. Kwa hiyo, moja ya tatu ya muda wa serikali yetu tuko tunasali kwa matajiri kubembeleza misaada - kwa Kiingereza.
Kujua Kiingereza vizuri kwa kiongozi wa nchi masikini kitaacha kuwa muhimu?
Duuuuuh!!!!!! Ushamsikia anachapia,basi wewe utakuwa ni mjukuu wa shakespeari remember seeing Mkapa being interviewed on BBC,programme was the HOT CHAIR,similar to kiti moto-this human being and in total command was flowing majestically-he was hardly breathing no pauses no ifs no buts,frankly speaking i was gobsmacked- i doubt if on the spoken word,he has any peer in tanzania-even the damn accent was f--cking cool
Je na wale ambao si waandishi wa habari lakini ni waongeaji wazuri unawaelezeaje? Mfano, Malcolm X, Winston Churchill, Hitler, n.k.....
Mkuu kwenye 20 poorest countries in world Tanzania tumo, sasa sijui ukiwa mkali wa komombo ndio Tanzania itakuwa nchi tajiri, kuna vitu vya ku-Collate sio kimombo na kiswahili
this is a battle between christianity and lslam
Some would say the premise of this thread is frivolous.
Ally Hassan Mwinyi spoke better Swahili than all, but that did not help him in being decisive.
Mkapa spoke English better than all but lacked charisma and couldn't give a live speech. His English did not help his integrity.
Nyerere was the most conversant, eloquent and capable live speaker and writer, but he still managed to butcher his Swahili.
Kikwete can't speak, can't write, can't think. In either Swahili or English. And doesn't have either integrity or a spine.
Mimi kwa mtazamo wangu naona SLAA YUKO JUU, kwani anaongea lugha zaidi ya 5 kama vile Kitaliano, Kijuruman, Kiingereza kifaransa na kiholanzi mpaka hapo mpooooo!!