Na akishajua, iweje? Naomba jibu.
Kikwete can't speak, can't write, can't think. In either Swahili or English.......still a president of URT!
Hapa hamna mpambano Mkapa semeni kila kitu lakini kiingereza chake kizuri na hotuba zake moto,
You are somehow running away! To me you seem to be advocating the outdated and neo-colonial thesis that 'proper command of English reflects the level of one's intelligence', as formulated in your previous posts!Unaniuliza mie swali la yeye anataka iweje akishajua? Kwa nini usimuulize mwenyewe?
Na kuna vitu vingine watu wanataka kujua for knowledge's sake, sio lazima kila knowledge iwe na motive. Intelligent beings are defined by a curiosity to want to know even before they may know the application of the knowledge.
The history of science is full of anecdotes to document scientific discoveries whose discoverers did not have any application at the time of discovery, but later on many applications were developed.
Kwa hiyo swali lako lina assume kwamba kila swali lina a ready application na reason, maswali mengine ni curiosity tu, sasa kama una majibu unaweza kujibu, kama unaweza ku discuss discuss, kama unaona swali si la msingi usichangie tafuta thread ya maana.
How would you define intelligence in the context presented here?
Miafrika na utumwa wa kiakili:der:
You are somehow running away! To me you seem to be advocating the outdated and neo-colonial thesis that 'proper command of English reflects the level of one's intelligence', as formulated in your previous posts!
Na vipi kuhusu kwenye Kiswahili, nani kati ya hao ni mkali zaidi? Na huyo mkali zaidi ina maana ndo mwenye akili zaidi?
Mkuu kwenye 20 poorest countries in world Tanzania tumo, sasa sijui ukiwa mkali wa komombo ndio Tanzania itakuwa nchi tajiri, kuna vitu vya ku-Collate sio kimombo na kiswahiliNa vipi kuhusu kwenye Kiswahili, nani kati ya hao ni mkali zaidi? Na huyo mkali zaidi ina maana ndo mwenye akili zaidi?
First reply ya thread nimemtaja Ally Hassan Mwinyi kuwa alijua Kiswahili zaidi (kwa kuelewa absurdity ya kuwashindanisha marais wa Tanzania katika Kiingereza)
Na nimeeleza pia kwamba ujuzi wake huo wa Kiswahili haukumsaidia kuwa mtendaji bora zaidi.
Yaani mtu kama wewe ukipewa ujumbe hata wa nyumba kumi utakachokuwa unahamasisha ni kcheza bao na ngoma tu.....kujua kwao lugha ya kigeni kuna manufaa gani kwa taifa?Kuwa jaji kwa kusikiliza mahojiano baina yao hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI! (MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!)
Ok you win, and I hope you are now satisfied. Happy Easter!Kwa hiyo assertions zako zote mbili zinatokana na lack of observation.
Ok you win, and I hope you are now satisfied. Happy Easter!
Ok Kiranga, hivi umahiri wa lugha una uhusiano wowote na utendaji? Inavyosemekana marehemu Sokoine alikuwa mtendaji mzuri sana. Kwenye lugha alikuwaje?
Mkuu kwenye 20 poorest countries in world Tanzania tumo, sasa sijui ukiwa mkali wa komombo ndio Tanzania itakuwa nchi tajiri, kuna vitu vya ku-Collate sio kimombo na kiswahili