Nani ni mkali wa kimombo kati ya Nyerere, Mkapa, Kikwete na Slaa!

By common sense huwezi kumlinganisha Mkapa na Mwinyi wala Kikwete, obvious he will have a good command on English pengine na Kiswahili kwa kuwa he was a journalist by trade. Kwa hivyo lugha ni fani yake.

English ya Mkapa ni kubwa kuliko hata ya wazungu wakawaida sasa itakuwa ni upuuzi kumlinganisha na hao vilaza wawili, pengine watatu maana mwalimu Nyerere nae akili zake saa zingine mmmh.
 
this is a battle between ccm and cdm, christianity and lslam

Bwana nawe kwani lazima uchangie? Kwanini watoka nje ya mada? Wewe kwa akili yako unaiunga mkono hiyo vita? Nakuhurumia maana hujui vita, wewe ndio walewale wanaofikiri ushindi wa vita hutokana na wingi wa propaganda au wingi wa jeshi! Acha mambo ya udini, unakuwa kamma mwarabu bwana? Tz wote ndg moja
 
By common sense huwezi kumlinganisha Mkapa na Mwinyi wala Kikwete, obvious he will have a good command on English pengine na Kiswahili kwa kuwa he was a journalist by trade. Kwa hivyo lugha ni fani yake.

Kuwa mwandishi wa habari hakukupi umahiri wa lugha. Kuna waandishi kibao wa habari ukiwasikia wakiongea au hata ukiona wanavyoandika utashangaa. Mkapa may just have what they call the gift of gab.....though I don't think he does.
 
If he was a journalist by trade lugha ni fani na kaisomea na kwa kuwa hupo ugenini i do not need to remind you English literature is one of the difficult majors in universities.
 
If he was a journalist by trade lugha ni fani na kaisomea na kwa kuwa hupo ugenini i do not need to remind you English literature is one of the difficult majors in universities.

Je na wale ambao si waandishi wa habari lakini ni waongeaji wazuri unawaelezeaje? Mfano, Malcolm X, Winston Churchill, Hitler, n.k.....
 
Na akishajua, iweje? Naomba jibu.

Kazi nyingi zaidi za serikali (majority) zinaendeshwa Kiingereza.

Sera, hukumu, barua za kiofisi, miswada na sheria, elimu, kuanzia kidato cha kwanza mpaka vyuo vya juu, shughuli zote hizi ni Kiingereza. Mikataba yote ya nchi sijaona ulioandikwa Kikwere.

Wakati barabara ya Uhuru ilipokuwa inatengenezwa mwaka jana waliweka alama za "detours" kwenye vichochoro vya buguruni kwa Kiingereza. Nikamuuliza konda mmoja, nisaidie, hizo alama na maelezo yanasemaje kaka? Akasema "sisi tunafata magari ya mbele." Hatari! Kwa hiyo, tutake tusitake, lugha ya mkoloni imetamalaki kila nyanja ya maisha ya nchi hii.

Uchumi wa Tanzania unaendeshwa kitegemezi kwa theluthi moja ya bajeti. Kwa hiyo, moja ya tatu ya muda wa serikali yetu tuko tunasali kwa matajiri kubembeleza misaada - kwa Kiingereza.

Kujua Kiingereza vizuri kwa kiongozi wa nchi masikini kitaacha kuwa muhimu?
 
i remember seeing Mkapa being interviewed on BBC,programme was the HOT CHAIR,similar to kiti moto-this human being and in total command was flowing majestically-he was hardly breathing no pauses no ifs no buts,frankly speaking i was gobsmacked- i doubt if on the spoken word,he has any peer in tanzania-even the damn accent was f--cking cool
 
Kazi nyingi zaidi za serikali (majority) zinaendeshwa Kiingereza.

Hata kwa Kiswahili zinaweza kabisa kuendeshwa. Uvivu na ujinha wetu tu ndo unatufanya tushobokee Kiingereza.

Sera, hukumu, barua za kiofisi, miswada na sheria, elimu, kuanzia kidato cha kwanza mpaka vyuo vya juu, shughuli zote hizi zinafanywa Kiingereza.

Hata kwa Kiswahili zinaweza kufanywa.

Mikataba yote ya nchi sijaona ulioandikwa Kikwere.

Huenda ndo maana hata hatuielewi.

Wakati barabara ya Uhuru ilipokuwa inatengenezwa mwaka jana waliweka alama za "detours" kwenye vichochoro vya buguruni kwa Kiingereza. Nikamuuliza konda mmoja, nisaidie, hizo alama na maelezo yanasemaje kaka? Akasema "sisi tunafata magari ya mbele." Kwa hiyo, tutake tusitake, lugha ya mkoloni imetamalaki kila nyanja ya maisha ya nchi hii.

Kielelezo zaidi cha ujinga wa Mwafrika.

Uchumi wa Tanzania unaendeshwa kitegemezi kwa theluthi moja ya bajeti. Kwa hiyo, moja ya tatu ya muda wa serikali yetu tuko tunasali kwa matajiri kubembeleza misaada - kwa Kiingereza.

Kwa mtindo huu tusahau kufika popote. Heshima ndo kabisaaaa....hakuna. Hatuheshimiwi.

Kujua Kiingereza vizuri kwa kiongozi wa nchi masikini kitaacha kuwa muhimu?

Kwa jinsi tulivyo wajinga, tusivyo wabunifu, tusivyothamini vya kwetu, tunavyoshobokea vya wazungu, hatuna ujanja. Na akili yetu ndo imegota kabisa. Hatuna la kufanya na kwa hiyo hatuna jinsi. Kiingereza kitaendelea kuwa cha muhimu kama ambavyo sisi tutaendelea kuwa ombaomba pasipo na mwisho.
 
i remember seeing Mkapa being interviewed on BBC,programme was the HOT CHAIR,similar to kiti moto-this human being and in total command was flowing majestically-he was hardly breathing no pauses no ifs no buts,frankly speaking i was gobsmacked- i doubt if on the spoken word,he has any peer in tanzania-even the damn accent was f--cking cool
Duuuuuh!!!!!! Ushamsikia anachapia,basi wewe utakuwa ni mjukuu wa shakespear
 
Je na wale ambao si waandishi wa habari lakini ni waongeaji wazuri unawaelezeaje? Mfano, Malcolm X, Winston Churchill, Hitler, n.k.....

Kuna tofauti kubwa kati ya mifano yako miwili kujua kuzungumza katika kadamnasi na kujua lugha.

Kwenye Kadamnasi unazungumza na watu, na mara nyingi unacheza na maneno ambayo watu wanayo taka kusikia au kuzungumzia vitu ambavyo vinawakwaza hili uwa motivate, mobilize muwe na muono mmoja kwa manufaa ya wote au hata maslahi yako binafisi. Yeyote anaweza fanya hili unacho hitaji ni publicity first and you would get your audience.

Kujua Lugha ni kuweza kuyapanga maneno kwa kufuatilisha taratibu za lugha with a depth vocabulary. Na ni kitu ambacho journalist have to go through in their learning process au hata ma-lawyers have to acquire the skill hili waweze kujaribu ku-interpret meanings.

Ndio maana unaona mtu kama 'Tony Blair' used his language skills and persuasions skills has a lawyer to run the Labour Party almost like a conservative party for almost twelve years with little fuss from the core labour supporters that is the Unions.
 
Mkuu kwenye 20 poorest countries in world Tanzania tumo, sasa sijui ukiwa mkali wa komombo ndio Tanzania itakuwa nchi tajiri, kuna vitu vya ku-Collate sio kimombo na kiswahili

Hilo linafahamika lakini si yo hoja inayojadiliwa hapa
 
Some would say the premise of this thread is frivolous.

Ally Hassan Mwinyi spoke better Swahili than all, but that did not help him in being decisive.
Mkapa spoke English better than all but lacked charisma and couldn't give a live speech. His English did not help his integrity.
Nyerere was the most conversant, eloquent and capable live speaker and writer, but he still managed to butcher his Swahili.
Kikwete can't speak, can't write, can't think. In either Swahili or English. And doesn't have either integrity or a spine.

kiranga umeuaaaaaa
 
At the end of the day, it is not how well you speak the language but whether you can get your message across.
 
Wewe uliyetoa mada hii huna tofauti na brek za mbuzi, kwa maana kiingereza ni luga tu kama luga nyingine, haina maana kuwa kuongea kiingezeza umesoma sana, tizama HU JIN TAO wa china hajui hata how are you lakini unaonaje mambo anavyoyapeleka? mpaka dunia inatingishika. acha ushamba na ujinga. na kama hujui maana ya breki za mbuzi waulize marafiki zako!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom