Nani anaweza nifundisha php na java jamani ningependa kujua hii kitu via kitaa

Freewebs hauwezi kutumia php, mysql etc tafuta host anayesupport php na mysql. Hiyo site ya eFundisha kuna sehemu wanaonyesha kinsi ya kuinstall XAMPP kama unataka kudevelop locally.
 
Freewebs hauwezi kutumia php, mysql etc tafuta host anayesupport php na mysql. Hiyo site ya eFundisha kuna sehemu wanaonyesha kinsi ya kuinstall XAMPP kama unataka kudevelop locally.
<br />Au ww ka ma vp nipatie hosters unao wajua wana support php
<br />
 
<br />Au ww ka ma vp nipatie hosters unao wajua wana support php
<br />

Kwakujifunza unaweza kujaribu moja au wote kati ya hawa host ambao binafsi nimewatumia na nawatumia kendelea kujifunza kwa vitendo

Free Web Hosting with cPanel, PHP, and no Ads hawa niliwatumia kujifunza CMS ya wordpress nikatengeza site hii teknohama-Bongo -
Free Hosting hawa pia nimewatumia hasa kujfunza wordpress na Joomla

Free Web Hosting, Free Templates, Free Tutorials and More - Zymic hawa pia niliwai kuwatumia kujifunza mambo ya designing ,html ,java applet, CSS bila kutumia CMS.unaweza kuchungulia hakaka tovuti mshenzi inagwanimektosa siku nyingi Sikika Fikika, Tafuta ,Wajibisha. Mojaya jaribio nililofanya ni jinsi yakupachika ramani ya google na maelezo ya njia kutoka eneo A kwenda B - angalia hapa RAMANI

So kama makushauri k amawewe unataka kujaribu kwa vitendojisi ya kuuisnatall na na cofigration za forum CSM sbasi f ungua free webhosting account na X10hosting
 
nimewatumia hasa kujfunza wordpress ya Joomla
najua ni haraka tu lakini nimefurahi kweli nilivyosoma. Anyway, hizo site zote si zinapoteza muda ku maintain? Au ndio mambo ya use n abandon?
 
najua ni haraka tu lakini nimefurahi kweli nilivyosoma. Anyway, hizo site zote si zinapoteza muda ku maintain? Au ndio mambo ya use n abandon?

aksante mkuu ni haraka Muda haupotei as long as ni ki google kitu huwa napenda nijaribu kwa vitendo. I mean kuna tofauti ya kujua theory ya kitu na kujaribu. So maintance sio issue ukizingatia ni vi-site vya mtu anayefanya majaribio ya vitu mbali mbali kujifunza.

Na experince nzuri ya kujifunza . so huwezi kukomaa na host mmoja ukaelewa tofauti za haw amahost au yupi ni mzuri ukiondoa gharama . Na kwa kuwa ni zozote ni free nothing to loose.

Mwanafunzi yeyote anayetak kujua mambo ya web anatakiwa kuwa na two or three free hosting account za kufanyia mazoezi na kujifunza

Ni Mtazamo
 
Back
Top Bottom