Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Muazisha thread naona anataka kufanya mult tasking kama si muti threading tena amabzo ziko tofauti kabisa . kama nilivyotoa ushauri kule juu mamb yatakuwa magumu kwa style hii inaonekana una mambo mengi kichwani. Hujaamua unataka kufanya nini?
elmagnifico said:.......Jamani mimi napenda sana mziki na nina ndoto za kuwa producer. Nimeanza nza tumia fl studio toka niko form3 mpaka saqsa niko chuo mwaka wa 3, lakini sijui kupga piano tan keyboard ile ya ukweli zaidi ya fl piano roll, pia sijui anything about mixing and vocaling jambo ambalo linafanya beat zangu ukizipeleka kwenye music system nyingine znakuwa kapuka.jamani kama kuna mtu anajua mambo hizo naomba msaada wake hata kama atataka malipo kidogo naweza toa lakini si ela nyingi maana mimi m,wenyewe choka mbaya kama watanzania walioo wengi source https://www.jamiiforums.com/tech-ga...oard-ya-music-an-vocal-mi-xing-anisaidie.html