Nani anaweza nifundisha php na java jamani ningependa kujua hii kitu via kitaa

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
Jaman wadau mimi natafta mtu wa kunifundisha php na java kwa malipo ya kimaskini. Naomba aliye tayari plz anijibu

Niko dar lakini nasoma udom so now niko likzo

Wish cud help niko Asia kwa sasa, but naweza nikakusaidia kukulink kwenye aina ya vitabu vya kusoma... Ingawa sina hakika kama vinapatikana hapo Bongo.. Ila kama utakua unavihitaji sana.. We ni PM ntakupatia details zaidi

Nipe kaka, but nimetry soma some details via net naona nashndwa elewa naoma mambo kama strings sijui wat n mm sijui anythng about programing language

unashidwa kuelewa sababu moja au zote kati ya hizi
• unaruka hatua hujaanza na basic
• Una haraka ya kuelewa
• una mambo mengne mengi
Kama hata mambo kama string sijui what huelewi kabla ya kuanza na php au java kwanza pata concept nzima ya programming na programming logic in general

Kuna kitabu kizuri kinaitwa Let us C mwandishi Yashwant Kanetkar. ingawa ni kitabu cha prgram ya C ukikikosma utalewa na kupata concept ya program uatalewa mambo muhimu na mtumizi ya vitu kama
• data types , constants and variables
• declaration
• Program control structures kama decision (eg IF statement ), loop (eg FOR satement ) and CASE
• Funtion and pointers - eg utaelewa creating and calling functions
• Arrays and structures
• Strings
Ukishalewa basic ya hayo mambo utajifunza programming language yeyote kirahisi. unaweza usiwe mtaalam lakini utaelewa. Binafsi si programmer but naweza kuelewa na kuelezea nini porgrm inafanya au kelezea kila line of program.

NB.

Simaniishi uanze kusoma C ila ukisoma hicho kitabu kitakupa mwanga na base nzuri what is prgramming logic no mater wich language utayoamua kufuata. Tofauti ya java, php ,etc ni matumizi ya sytanx but logic ya program zote ni ile ile. Au tafuta kitabu chochte cha introduction to programming.

But kama una haraka ya kujua na una bandwidth na ya kutosha fuatilia au download kutoka yutube lecturse za Standfod university kuhusu programming mtehodolgy. Jamaa anatumia java na kuna lecture zaidi ya 28. kila moja ni dk kama 50.

This is best programming lecturer I refer every programming student.
Onja lecturer 2
1

II

Ukihitaji kitabu cha let us C nijulishe nitauwekea hapa lakini kina page zaidi ya 700. But mm huwa natafuta video tutorial alafu nasoma kitabu pale napokuwa sijaelewa.

Good luck

Last edited by a moderator:
Ofcoz mosley napenda cku moja nije kutengeneza website ya ukweli na pia napenda nije kuwa developer wa applications za cm

Ukihitaji kitabu cha let us C nijulishe nitauwekea hapa lakini kina page zaidi ya 700. But mm huwa natafuta video tutorial alafu nasoma kitabu pale napokuwa sijaelewakaka ukukiweka hapoa itakuwa vizuri zaidi,utatusaidia wendi!

Ukihitaji kitabu cha let us C nijulishe nitauwekea hapa lakini kina page zaidi ya 700. But mm huwa natafuta video tutorial alafu nasoma kitabu pale napokuwa sijaelewakaka ukituwekea hapa itakuwa vizuri sana,itatufaa wengi

Kitabu hiki ni kizuri sana.. Nimekitumia hiki nikiwa first year.. Jamaa katumia approach nzuri sana katika ku kipresent..

Mimi sikubahatika a kufundihswa kwa kitabu hiki labda ndio maana nilishia kupass tu programming bila kuwa best lakini baadae nilkitumia hiki kitabu nikiwa nimeshamliza masomo nilianza kupenda programming. Na kimenisaidia sana. Japo si mtaalam sana but..........

Je umemuona huyo lecturer muhindi wa standforf kila mwanfuzni akiuliza swali anapewa pipi.? Kuna style za ufunidshaji hata ukiwa na mtindio wa ubongo by default unakuwa na C teh teh teh teh teh.

unashidwa kuelewa sababu moja au zote kati ya hizi

unaruka hatua hujaanza na basic

Una haraka ya kuelewa

una mambo mengne mengi

Kama hata mambo kama string sijui what huelewi kabla ya kuanza na php au java kwanza pata concept nzima ya programming na programming logic in general

Kuna kitabu kizuri kinaitwa Let us C mwandishi Yashwant Kanetkar. ingawa ni kitabu cha prgram ya C ukikikosma utalewa na kupata concept ya program uatalewa mambo muhimu na mtumizi ya vitu kama

data types , constants and variables

declaration

Program control structures kama decision (eg IF statement ), loop (eg FOR satement ) and  CASE

Funtion and pointers - eg utaelewa creating and calling functions

Arrays and structures

Strings

Ukishalewa basic ya hayo mambo utajifunza programming language yeyote kirahisi. unaweza usiwe mtaalam lakini utaelewa. Binafsi si programmer but naweza kuelewa na kuelezea nini porgrm inafanya au kelezea kila line of program.

NB.

Simaniishi uanze kusoma C ila ukisoma hicho kitabu kitakupa mwanga na base nzuri what is prgramming logic no mater wich language utayoamua kufuata. Tofauti ya java, php ,etc ni matumizi ya sytanx but logic ya program zote ni ile ile. Au tafuta kitabu chochte cha introduction to programming.

But kama una haraka ya kujua na una bandwidth na ya kutosha fuatilia au download kutoka yutube lecturse za Standfod university kuhusu programming mtehodolgy. Jamaa anatumia java na kuna lecture zaidi ya 28. kila moja ni dk kama 50.

This is best programming lecturer I refer every programming student.

Onja lecturer 2

1

II

Ukihitaji kitabu cha let us C nijulishe nitauwekea hapa lakini kina page zaidi ya 700. But mm huwa natafuta video tutorial alafu nasoma kitabu pale napokuwa sijaelewa.

Good luck

huwa napenda sana unavooanisha mambo!

Last edited by a moderator:
Mimi sikubahatika a kufundihswa kwa kitabu hiki labda ndio maana nilishia kupass tu programming bila kuwa best lakini baadae nilkitumia hiki kitabu nikiwa nimeshamliza masomo nilianza kupenda programming. Na kimenisaidia sana. Japo si mtaalam sana but..........

Je umemuona huyo lecturer muhindi wa standforf kila mwanfuzni akiuliza swali anapewa pipi.? Kuna style za ufunidshaji hata ukiwa na mtindio wa ubongo by default unakuwa na C teh teh teh teh teh.

Kwa kweli nimetokea kuipenda Programming sana, na nashukuru kwa stage niliyofikia.. Ingawa naweza nikawa nafanya kazi katika maeneo mengine ya IT, but Programming ntakua naifanyia kazi binafsi maisha yangu yote.. I love Programming...

kama tutakubaliana kunilipa muda wangu naweza kuangalia uwezekano. Lakini huwa napenda mwanafunzi wangu ajue basics then intermediate na mwisho advanced concepts. Sasa gharama ya muda na hizo pesa za kimaskini unazosema sijui ndio ngapi. Maana itabidi niache mambo yangu kadhaa nikufundishe...

Back
Top Bottom