Nani anastahili kukuita Mpenzi, darling, sweetheart

is it a crime to call someone dear/darling? ooops i didn't know that...

anyway it depends intention ya mtu... kama anakuita darling just to show respect or affection or anakuita darling to flirt with u...

I call my friends(girls) darling and dear (guys)....
 
WoS, Mie naona yanatumika
Kuonyesha upendo kwa yeyote ktk familia yako mume, mtoto lakini pia kwa rafiki wa jinsia moja sawa kabisa.
Ila rafiki wa jinsia nyingine mh labda huyo ndo "Man of Substance" mtarajiwa otherwise utafanya watu washtuke, au yeye mwenyewe au mwenza wake wakuwaze nini?
Mama Joe hapo kwenye bold inakuja kweli kwa wanaume kuitana "mpenzi"?
 
Maneno hayo yote karibu yana maana moja. Mtu unaempenda tatizo ni lugha, ukimwambia mtu STUPID!!!! anaweza aka react tofauti na ukimwambia mjinga/mpumbavu. LAKINI:
1.Mneno haya hutumika kutokana na uzito wa penzi lenyewe.
2.Kama unapenda kiasi tu basi utasema MPENZI.....
3.Kama unapenda sana utasema Darling..............
4.Lakini kama unapenda sana sana husikii huoni hapo utasema sweetheart.....
a)usishangae ukazushiwa na waswahili kuwa unalala na dada yako kwa kumwita ''sweetheaet''
b)haya maneno mawili, sweetheart na darling yamekaa ki-bedroom bedroom hivi.chumbaniiiiiiiiiii,mpo wawili na mlango mmefunga.......annyway NI MAWAZO NA MTAZAMO WANGU.
 
...ughaibuni kuitwa darling, love, sweetheart wala sio big deal achilia mbali kuminyiwa jicho, au kupewa busu!

Kwenye jamii zetu za kibantu, NI MARUFUKU! ...binafsi sithubutu kumwita mw'mke kwa majina hayo mbele ya 'mywife' wangu, na wala yeye hathubutu kutamka hayo kwa mw'ume mwingine nikayasikia, kwani inaleta tafsiri tofauti :)
e wuuuuuuwi umenikumbusha mbali, jamaa alikuwa ana act uzungu kwa kutumia hayo maneno sweety, baby nk,rafiki yake naye alisha wajua hivyo akawa anamtafunia,hivyo huyo rafiki akimkuta mama yupo na jamaa anatumia maneno hayo bila jamaa kujua ila alipogundua mpaka leo hataki hata kusikia kitu kinaitwa sweety,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom