Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

Marekani ndo wamilik wa intanet.
Www,iligunduliwa na wizara ya ulinzi ya marekani mwanzoni mwa miaka ya 80.
Inasemwa rais wa marekani anayo ufunguo wa kuizima.
 
Internet haiwezi kuzimwa...coz huko baharini kuna fibres kibao za nchi husika zinamiliki...so ni ngumu sana.
 
Hakuna mtu anayemiliki internet sababu internet ni mkusanyiko wa computer / servers duniani hivyo basi hata mimi hapa nyumbani na hii server yangu yenye mafaili yangu kuhusu site yangu (mmiliki wa hii site yangu) ni mmoja wapo wa huu muunganiko ila siwezi kusema namiliki internet (mawasiliano ya computer) ila ninamiliki hii site ambayo nayo ni part ya internet
 
Nafikiri kama umenielewa mimi naongelea mmiliki wa source mean internet source who is owner is it possible to shutdown??
 
Na mimi ndio maana nikasema internet ni yale mawasiliano ya computer tofauti tofauti ulimwenguni.., kinachoweza kufanyika ni kwa nchi husika kuwashinikiza service providers (internet service providers) kuzima mawasiliano mfano Bongo kuwabana wote kina voda, airtel et al ili wasitoe service ya sisi kuweza kuangalia site/internet/websites; lakini ingawa sisi wa Bongo tutashindwa kuangalia lakini huenda JF ikawa bado ipo (kama webhost wake yupo nje mfano marekani) na kuna site nyingine hata information zake hazipo sehemu moja; kuna mirror sites, kwahio hata kama server ya sehemu fulani ikipigwa bomu na kila kitu kupotea kutakuwa bado kuna back up files sehemu nyingine
 
Hivi mpaka wawambie provider???!!!kwani hakuna mahali kuna backbone??je ikifa bado provider watakuwa na uwezo wa net??mathalani nikusaidie hapa backbone haapa anamiliki au kuendesha ni simbanet ndo maana bakiwepo na shida ya fibber net mjini inasumbua inabidi watu atumie satellite dish kwa ajili ya internet sasa hapo imekaaje?
 
umiliki wa internet na mawasiliano yote duniani ni Marekani, Ulaya wamejaribu kutengeneza mfumo wao bt wamefail. Ndio maana baada ya kufanyiwa udukuzi kiongezi wa Ujeruman akaenda Brazil watengeze system yao ambayo haitapitia U.S.A
 
Hivi mpaka wawambie provider???!!!kwani hakuna mahali kuna backbone??je ikifa bado provider watakuwa na uwezo wa net??mathalani nikusaidie hapa backbone haapa anamiliki au kuendesha ni simbanet ndo maana bakiwepo na shida ya fibber net mjini inasumbua inabidi watu atumie satellite dish kwa ajili ya internet sasa hapo imekaaje?

Ofcourse kama mtu anaweza kutumia satellite ku-bypass basi ataendelea ila all in all mara nyingi nchi husika ndio huwa zinaweza zika-disrupt hizi communications kwa kuwabana ISPs kwahio kunakuwa hakuna wide area communications mfano kilichotokea Egypt...

[h=3]Egypt[/h] The government of Egypt shut down the four major ISPs on January 27, 2011 at approximately 5:20 p.m. EST.[SUP][10][/SUP] Evidently the networks had not been physically interrupted, as the Internet transit traffic through Egypt, such as traffic flowing from Europe to Asia, was unaffected. Instead, the government shut down the border gateway protocol (BGP) sessions announcing local routes. BGP is responsible for routing traffic between ISPs.[SUP][11][/SUP]
Only one of Egypt's ISPs was allowed to continue operations. The ISP Noor Group provided connectivity only to Egypt's stock exchange as well as some government ministries.[SUP][10][/SUP] Other ISPs started to offer free dial-up Internet access in other countries.[SUP][12][/SUP]
Internet backbone - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Huwa napata tatizo hasa kujua mmliki halali wa Internet je net inakuwa controlled na nchi gani au mtu gani?

Maji safi yaliyo chini ya ardhi kwa ajili ya matumizi ya binadamu huwa hayana mmiliki. Ukifaniukiwa kuchimba/kuchimbiwa au kuwa na kisima kikubwa unachomiliki kisheria kiasi cha kuweza kuwagawia wengine (e.g. DAWASCO), unaweza ukaamua kama utawagawia bure au watalipia, au hata usiwagawie kabisa utumie wewe mwenyewe tu, kama unaona matumizi yako ni makubwa au maji yako siyo mengi. Hata internet imefanana kiasi hivyo. Sema tu kuna mtu aliyegundua internet mwaka 1992 anaitwa Tim Berners Lee. Huyu ndiye aliyegundua internet ila sidhani kama ana hati miliki yake. Kwa mfano, ulishawahi kujiuliza kama kuna mtu ana hati milki ya masafa ya mawasiliano kv ya redio, simu nk? Nadhani sheria kama hiyo haipo duniani. Anyway ni mawazo yangu tu, naweza nisiwe sahihi kama ninavyodhani!
 
Na mimi ndio maana nikasema internet ni yale mawasiliano ya computer tofauti tofauti ulimwenguni.., kinachoweza kufanyika ni kwa nchi husika kuwashinikiza service providers (internet service providers) kuzima mawasiliano mfano Bongo kuwabana wote kina voda, airtel et al ili wasitoe service ya sisi kuweza kuangalia site/internet/websites; lakini ingawa sisi wa Bongo tutashindwa kuangalia lakini huenda JF ikawa bado ipo (kama webhost wake yupo nje mfano marekani) na kuna site nyingine hata information zake hazipo sehemu moja; kuna mirror sites, kwahio hata kama server ya sehemu fulani ikipigwa bomu na kila kitu kupotea kutakuwa bado kuna back up files sehemu nyingine

Sorry kama ntakua nimeuliza swali la kishamba..
Mkuu hivi hawa service providers let's say Tigo...voda..airtel..smile etc huwa wanazitoa wapi hiyo internet yao...na huko watowako i.e major internet service provider huwa anatoa wapi hizo bites (internet) wat z exactly source of internet...??
Kuna kampuni au nchi ambayo inamiliki internet..?? Ambayo nchi au makumpuni mengine yananunua toka kwake...??
 
An Internet service provider (ISP) is an organization that provides services for accessing, using, or participating in the Internet.

Ili internet ifanye kazi au wewe ili uweze ku-surf na kuangalia hii JF Site, unapoomba page moja ya JF labda iliyohifadhiwa kwenye computer fulani kule marekani inabidi hio information (ombi lako) litoke kwenye computer yako through modem hadi kwenye minara ya provider wako (tigo, airtel et al) na baada ya hapo either through satellites au mkonga mpaka mwisho wa siku ifike huko kwenye Computer ile ambayo ina JF page unayotaka...

Sasa hawa ISPs kwa pamoja au mmoja mmoja au kwa kukodi wanamiliki hizi njia ambayo page yako inapita; tuseme hizi njia ni kama barabara na njia za magari za nchi nzima; kwahio hata kama mkuu wa mkoa akizuia barabara zote za Mwanza ili magari yasipite kwahio watazuia watu wa Mwanza tu wasiende pengine ile sio wa pengine kuwasiliana pia hata hivyo watu wataweza kuendelea kutembea kwa kutumia ndege au train
 
Sorry kama ntakua nimeuliza swali la kishamba..
Mkuu hivi hawa service providers let's say Tigo...voda..airtel..smile etc huwa wanazitoa wapi hiyo internet yao...na huko watowako i.e major internet service provider huwa anatoa wapi hizo bites (internet) wat z exactly source of internet...??
Kuna kampuni au nchi ambayo inamiliki internet..?? Ambayo nchi au makumpuni mengine yananunua toka kwake...??
mkuu ukosawa hata sorry haikutakiwa kuomba kwani unawajibu wakujua!Nimependa swali lako.
 
Sorry kama ntakua nimeuliza swali la kishamba..
Mkuu hivi hawa service providers let's say Tigo...voda..airtel..smile etc huwa wanazitoa wapi hiyo internet yao...na huko watowako i.e major internet service provider huwa anatoa wapi hizo bites (internet) wat z exactly source of internet...??
Kuna kampuni au nchi ambayo inamiliki internet..?? Ambayo nchi au makumpuni mengine yananunua toka kwake...??

Walimu wana mbinu zao za kufundisha kulingana na mtu wanayemfundisha, hakuna mbinu moja ambayo ni universal.
Fikiria internet kama mtandao wa barabara kutoka nyumbani kwako kwenda kwa kila nyumba iliyopo duniani, mtandao huo utakuwa na barabara kuu na barabara ndogo ndogo na matawi, zote hizo zinakuwa zimejengwa na kuwa serviced na makampuni mbalimbali, hivyo unatakiwa kulipa kwa kampuni iliyokuunganisha wewe kutoka mlangoni kwenda tawi la kwanza, kutoka pale kuingia tawi la pili kampuni ile itamlipa anayemiliki barabara ile na mfumo unakwenda kwa jinsi hiyo. HAKUNA MMILIKI WA BARABARA HIZO ZOTE KWA PAMOJA, sema kuna sheria za barabarani ambazo zinatumika kuhakikisha usalama.
 
Huu ni mfano mfu kwani mwisho wasiku TANROAD Ndo wamiliki wahizo barabara hivyo tunatafuta mmiliki wa Internet hatutaki justification hapa ongelea utaalamu siyo blah blah ila samaani kama nimekuoffend.
 
Internet haina umiliki hayo makampuni yanamiliki tu njia Za ku access hiyo internet
 
From WEBOPEDIA.

No one actually owns the Internet, and no single person or organization controls the Internet in its entirety.
The Internet is more of a concept than an actual tangible entity, and it relies on a physical infrastructure that connects networks to other networks.
There are many organizations, corporations, governments, schools, private citizens and service providers that all own pieces of the infrastructure, but there is no one body that owns it all. There are, however, organizations that oversee and standardize what happens on the Internet and assign IP addresses and domain names, such as the National Science Foundation, the Internet Engineering Task Force, ICANN, InterNIC and the Internet Architecture Board.
 
Back
Top Bottom