Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

Kuna mjadala unaendelea kuhusu mmiliki wa internet.
Majibu: Hakuna mmiliki wa moja kwa moja wa internet.

Sababu:
Internet ni dhahania (Kufikirika )na siyo Halisi( Unaweza kuishika,kuigusa,kuibusu n.k)
Hitimisho:
Kuna wamiliki wa miundombinu ya internet ambayo ni :
  1. Fiber optic cable.
  2. Switch (Swichi).
  3. Servers.
  4. Routers.
  5. Hubs.
  6. Gateways.
  7. Proxies.
  8. Load balancers.
  9. Repeaters, Optical amplifier etc.
Miundombinu ya internet inaweza kumilikiwa na serikali ,mtu binafsi, taasisi, shirika au kampuni. Kwa Tanzania ni hawa wafuatao:
Huu ni kwa uelewa wangu mdogo. Natarajia atakuja Mtaalamu kuongezea nyama!!!
 
Si ungeelezea huko huko kwenye huo mjadala, sasa nini hii kuhamisha magoli... hata hivyo ule mjadala ni kuhusu mmiliki wa DATA sio INTERNET.
 
Ni sawa kabisa, yaani makampuni yanayotoa huduma ya internet katika level mbali mbali za kijigrofia, ambao ndio wamiliki wa hiyo miundo mbinu inayowezesha hayo mawasiliano, sasa wamiliki wa hayo makampuni kwa mtazamo wangu japo yanaoneka kama ni private company ila kuna mkono wa serikali ndani yake.
Mtandao unamilikiwa na kila mmoja ambaye ni part ya Internet isipokuwa mmarekani anapart kubwa na muhimu katika internet na ndiye mwanzilishi kupitia department ya ulinzi ya USA iliyokuja na Project yake ya ARPANet (Advanced Research Project Agency Net)
 
Nyongeza, kwa mujibu wa shehe yahaya marehemu, baba ya internet ni jini moja la ajabu, akasema lina uwezo kufumba na kufumbua likahamisha ikulu ya magogoni na kuipeleka dodoma na kuonekana kana vile ilijengwa hapo toka awali.
 
Hapa tunaongea kisomi zaid?? Pls unaweza kutupa reference ya mahali aliposoma huyo sheikh? Kwamba intanet ni jini?
Nyongeza, kwa mujibu wa shehe yahaya marehemu, baba ya internet ni jini moja la ajabu, akasema lina uwezo kufumba na kufumbua likahamisha ikulu ya magogoni na kuipeleka dodoma na kuonekana kana vile ilijengwa hapo toka awali.
 
Wana mnazungukana tunapigana hadi kamba wanyooonge tuko kando...

Basi bora kamba zielezee.

Internet inamilikiwa na kutengenezwa na NASA kwa asilimia kubwa kwa sasa.

Ni mtindo tu wa kutumia utaalamu kuunnganisha vitu viweze kuwasiliana.... Haipiti hewani wala ardhini... Ila ipo kwenye chumba kimoja.


Ni sawa wewe uwe na chumba ndani yake ukaweka vyumba na vitu vingine... Ukipulizia dawa ya mmbu inafika kwa kila chombo kilicho ndan ya room....

Basi hakuna kingine hapo.
 
Alikuwa anaongea kwenye vipindi vyake channel ten, sina uhakika kama ipo YouTube, na ndio maana nikasema nyongeza, alisema baba wa internet ni jini mpaka na picha ya jini aliitoa kwenye hicho kipindi.
Hapa tunaongea kisomi zaid?? Pls unaweza kutupa reference ya mahali aliposoma huyo sheikh? Kwamba intanet ni jini?
 
Mi nimejifunza kitu kimoja muhimu hapa. Kwamba hakuna mtu anaweza kuzima switch sehemu huko marekani na dunia nzima ikakosa internet.

Nadhani hapo ndio kwenye jibu la mleta madandy

Mi nimejifunza kitu kimoja muhimu hapa. Kwamba hakuna mtu anaweza kuzima switch sehemu huko marekani na dunia nzima ikakosa internet.

Nadhani hapo ndio kwenye jibu la mleta mada.
Je tunge izima satalite na tunge kata uwo mkonga, kutakuwa na internet kweli
 
Back
Top Bottom