Nani aliwaloga wajita??

Ukimtoa Kangi Lugora hakuna mjita mwingine ambae ni mbunge,DC,mkuu wa mkoa,mwenyekiti ktk kada zote kuanzia ngazi ya wilaya,mkoa na Taifa,au niseme kwa cheo cha kuteuliwa.
Mimi hapo real am puzzled.Shida ni nini

mkuu wa mkoa Arusha na steven wasira ni wajita
 
Ukimtoa Kangi Lugora hakuna mjita mwingine ambae ni mbunge,DC,mkuu wa mkoa,mwenyekiti ktk kada zote kuanzia ngazi ya wilaya,mkoa na Taifa,au niseme kwa cheo cha kuteuliwa.
Mimi hapo real am puzzled.Shida ni nini

Wapo, tena wengi kama Prof. Muhongo, Verdiana Mng'ong'o, Machemuli n.k.
Ma DC na ma RC wapo vilevile. Lakini wajita si wapenda vyeo vya kuteuliwa, labda kizazi cha sasa.

Wajita ni watu wa unique calibre. Si wala rushwa wala hawahongeki. Si wezi wala mafisadi, hawa ni wataalamu, maprofesa, wahandisi, madaktari, mapolisi, wahasibu, wanasheria nk. Hawa si wana siasa kwa asili kwani ni watu wa majigambo, jeuri, makini, complicated and simple, reliable, wana PRIDE,ni MIAMBA, MASIKA au mvua za el nino! Siasa hawawezi ni watu wenye short fuses, pia wana ubongo uliotulia, wanajipenda, ni maskini jeuri hivyo kuteuliwa kirahisi rahisi hawafurahii sana ila kizazi hiki cha wajita chotara.
Mimi si mjita ila nawafahamu. Kwa sifa hizi kiongozi makini tu ndo anayeweza kufanya kazi nao, hivyo sidhani kama wanakubalika kwenye majukwaa ya kisiasa pamoja na kwamba ni washauri wazuri kwenye vyama vya kisiasa. i.e Wilson Mukama, Pius Msekwa, Mongela etc.
 
Profesa Muhongo si Mjita. Ni Mruri.
 
Msekwa na Mongela si Wajita. Hawa ni Wakerewe. Lakini inaonekana unawafahamu Wajita vizuri tu.
 
Wajita na Wakara ndo wamoja, lakini si Wakerewe!.

Yegomasika. Labda tumechanganyikana. Nilipokuwa mdogo shangazi mmoja wa baba yangu alikuja nyumbani kwetu akitokea Ukerewe. Yeye na baba walikuwa wanazungumza Kikerewe na sisi watoto tukitoka kapa. Nikashangaa kwa nini shangazi ya baba, ambaye ni bibi yetu, hazungumzi lugha yetu.
 
He he he...Jasusi, Kikerewe na Kijita ni khabari mbili tofauti kabisa, wale wasiofahamu hawawezi kulijua hili. Labda Kizinza ndo kidogo kinakaribiana na Kikerewe, labda na Kihaya kidogo!.
 
Yegomasika,
Now you can solve my riddle. Kwa nini shangazi yake baba alikuwa anazungumza Kikerewe? Najua baba alikulia pia Ukerewe na alikifahamu. Was she a Mjita aliyehamia Ukerewe akiwa mdogo? I never had the chance to ask my father about this.
 
Inaweza kuwa shangazi yako alihamia Ukerewe wakati akiwa mdogo, ukweli ni kwamba hata mimi Mkerewe akiongea ni maneno machache sana ninayoweza kuyanyaka. Ha ha ha...mambo ya Ota mwozowe!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom