Nani aliwaloga wajita??

Ukimtoa Kangi Lugora hakuna mjita mwingine ambae ni mbunge,DC,mkuu wa mkoa,mwenyekiti ktk kada zote kuanzia ngazi ya wilaya,mkoa na Taifa,au niseme kwa cheo cha kuteuliwa.
Mimi hapo real am puzzled.Shida ni nini
je kitaaluma wajita wakoje?isije kuwa wao wanashinda kuwinda porini then utegemee wapewe vyeo
 
Mambo ya ukabila haya kwani wakurya na wajita wote ni watanzania. Vyeo kitu gani sisi wajita tuko poa tu
 
Mtuache miaka 100000000........ eti oooh wana laana PUMBAAAFU na hao wanaolala na watoto wao utawaitaje?
 
msitufananishe na wazaramo....kwani kutufanisha na wazaramo ni dharau kubwa, kabila gani hilo? then huwezi sema wajita coz makabila ya mara mengi yanafana unaweza ukakuta mtu sio mjita ila ana ascent fulani ya ujita kama wakwaya wazanaki nk
 
Sijafurahia kabisa unavyotulinganisha na wazaramo! husijaribu tena kukashifu kabila za watu!

  • :embarrassed:



  • :sad:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom