Nani aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu?

HOFU YA WANAUME NDIYO ILIYO WATOA WANAWAKE KWENYE MAMBO MENGI ILI AJIONE NI KIUMBE KINYONGE, BALI NI VICE-VERSA. ...THE WEAKER ARE OPPRESSING THE STRONGER. ...tumeamka. ..zama hizo zimepitwa na wakati. ...MARIA MAGDALENA NI MTUME WA MITUME. .YEYE NI WA KWANZA KUMWONA YESU KRISTO (YAHUSHUA HA MASHAIC ) ALIVYO FUFUKA NA AKAENDA KUWAAMBIA WANAFUNZI WAKE....watch and pray. ...have a blessed Sunday
 
Debora alikua nabii, soma biblia, Waamuzi 4:4, Esta aliongoza ukombozi wa wayahudi dhidi ya kifo kilichopanwa na Naamani, Soma kitabu cha Esta.
 
Nyie mna pembe? Mikia,? Manyoya? Mna function tofauti,? Hamfi? Mna nini extra cha kujiona nyie ndo wenyewe tu sisi tutolewe kwenye hesabu?

Nyie mna pembe? Mikia,? Manyoya? Mna function tofauti,? Hamfi? Mna nini extra cha kujiona nyie ndo wenyewe tu sisi tutolewe kwenye hesabu?
Nyinyi m-sehemu ya mtu mume, ni nyama katika nyama zake, katika ubavu wake mlitoka - Mungu aliwaumba ili mwanaume apate msaidizi. Utofauti umeouna?!
 
Lini haswa tulianza kuwahesabu wanawake na watoto kwenye mambo ya Mungu na mengineo ya msingi? Tukirudi nyuma hata idadi ya waliolishwa mikate na Yesu, watoto na wanawake hawakuwepo kwenye ile idadi, na kuna mifano mingine mingi. Wachungaji wanawake ni wengi sana siku hizi sasa hivi utasikia Azana za wanawake misikitini any way.

Nani haswa aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu? Maana hii dhambi/ au niseme huu udhaifu wa wanaume unaanza kututafuna wanadamu kimya kimya ikianzia na Ujerumani, Uingereza na hata taifa kubwa duniani Marekani soon linaingia kwenye mtego wa wanawake.

Najua kuna mtakao shindwa kuona hoja yangu, pole yenu.

Kwa mlioiona tafadhali athari yake nini hii kitu?
kwan wanawake sio watu?
 
Fafanua mkuu!
Back to thread,
Ukilima shamba ukapanda mazao, magugu yakiota lazima yapaliliwe. Usipoyapalilia kuna uwezkano yakaharibu pando lako. Pando la Mungu lilikuwa Adamu, Eva katokea kama gugu, gugu ni kinzani kwa pando halisi. Hivyo alowaingiza wanawake ni ibilisi kwa kuwa hapendi pando la Mungu.
Nimekuwa nikihudhuria kwenye maombi, linapotokea kuombewa mtu na mapepo yakaripuka, utasikia "tumetumwa na bibi yake / shangazi yake" Mbona hayasemi tumetumwa na mama mdogo / mjomba / babu?
Hii ni uhakika kwamba wanawake ni mbinu ya ibilisi.

"Equality" usawa hautokaa ukawezekana ndo maana huwa nashangaa sana hili swala la sasa wanawake kupewa kipaumbele kila mahali... Huwa najiuliza kwann tusingeeshimu waliotutanguliaa...

"Equity" kila mtu ananafasi yake katika jamii na ndio maana kuna sababu ya kula mmoja kuwepo...
 
1472919130468.png
 
Duh kwa sehemu nitakuunga mkono pale wanawake wanaposahau kutii ukichwa wa mwanaume na kusahau mwanamke yuko chini na ni msaidizi wa mume wake...ila kumbuka Yesu hakuwa na ubaguzi na ndio maana hata yule mwanamke aliyekuwa akitiririkwa na damu aliposhika vazi la Yesu akapona hukukemewa kwa tendo hilo...wakati mwanamke anapokuwa ktk hali hiyo alionekana mchafu...na hata kama mwanamke akisimama mbele ya wanaume anahubiri alipaswa kufunga kitambaa kichwani kama heshima kwa mwanaume...
Kujifunga kitaambaa kichwani sio heshima kwa mwanamume bali ni sitara kwa mwanamke mwenyewe.
 
Mpaka leo katazo linasimama. Biblia haijabadilika,na Mungu habadiliki. Kwa usahihisho kidogo lakini muhimu ni kwamba sio tu agano la kale. Hata agano jipya limekataza pia. Upofu wa viongozi wa kidini na ukengeufu duniani umepelekea mwanya wa wanawake kuvamia nafasi zisizowahusu. Haki za binadamu na watoto zinatumiwa vibaya na shetani kupenyeza ushawishi wake ulio kinyume na Neno la Mungu, na ndio maana shetani na mawakala wake wanaitwa ANTI - CHRIST, na anti-Christ ni anti - Word maana CHRIST is the WORD of GOD. Kumbuka, hapo mwanzo alikuweko NENO, naye Neno.........wakuu mnaweza kumalizia.
1472926606211.png
 
Debora alikua nabii, soma biblia, Waamuzi 4:4, Esta aliongoza ukombozi wa wayahudi dhidi ya kifo kilichopanwa na Naamani, Soma kitabu cha Esta.
Esta hakuongoza bali alielejekezwa na mwanaume kuwa aitumie nafasi ya umalkia alionayo kuwaokoa wayahudi. Soma neno vzuri. Mwelekezaji alikuwa mwanamume akamuamini na akatii na akafanikiwa.
 
Esta hakuongoza bali alielejekezwa na mwanaume kuwa aitumie nafasi ya umalkia alionayo kuwaokoa wayahudi. Soma neno vzuri. Mwelekezaji alikuwa mwanamume akamuamini na akatii na akafanikiwa.
Naam. Jina lake aliitwa MODEKAI. Afadhali ulimsahihisha huyo jamaa, maana upotofu huanzia kwenye vitu kama hivyo.
 
Lini haswa tulianza kuwahesabu wanawake na watoto kwenye mambo ya Mungu na mengineo ya msingi? Tukirudi nyuma hata idadi ya waliolishwa mikate na Yesu, watoto na wanawake hawakuwepo kwenye ile idadi, na kuna mifano mingine mingi. Wachungaji wanawake ni wengi sana siku hizi sasa hivi utasikia Azana za wanawake misikitini any way.

Nani haswa aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu? Maana hii dhambi/ au niseme huu udhaifu wa wanaume unaanza kututafuna wanadamu kimya kimya ikianzia na Ujerumani, Uingereza na hata taifa kubwa duniani Marekani soon linaingia kwenye mtego wa wanawake.

Najua kuna mtakao shindwa kuona hoja yangu, pole yenu.

Kwa mlioiona tafadhali athari yake nini hii kitu?

Kama wanawake si watu, wanaume nao si watu basi.

Kwa sababu wanaume wanazaliwa na wanawake.

Au kwenu wanaume wanazaliwa na wanaume?
 
Personal freedom,
Freedom of press,
Pamoja na. NGO's zinazosimamia haki zabinadam.
##ie mawazo yabinadamu wa mambo ya HUMAN RIGHTS yamefanywa kuwa bora kuliko utaratibu wakiIMANI##
 
mwanaume hajaubwa kwa ajili ya mtu ila mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume upo?
 
maneno mazitto sana wanawake ni wa kutulia leo kuhangaika kwao ovyo ovyo ndio dunia imefkia hapa
 
Back
Top Bottom