Nani aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu?

"Yatafakarini haya ninyi wenyewe........." "Hulituma neno, huwaponya........" Na mwenye maskio na asikie.
 
Tatizo lako unakurupuka unaishi kizamani wakati biblia ina mambo mapya. Biblia inasema hivi Kwa maana Bwana (MUNGU) ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume (Yeremia 31:22b). kuhusu wanawake kuhubiri, soma Zaburi 68:11 " Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa"

Nadhani Mungu aliamua kuwakabidhi wadhifa huu kwa sababu ya CV zao
1. Wanaume wote walimshindwa Samson ila Delila akamnasa kilaini kabisa
2. Adam alishindwa kusimamia maagizo ya Mungu wake kamsikiliza mkwewe
3. Nuhu mcha mungu aliambiwa mkufuru Mungu, akalaani siku aliyozaliwa na tumbo lililomzaa
4.Wanawake ndio walikuwa wa kwanza kujua kuwa Yesu amefufuka
5. Yezebeli alimshawishi mwanaume kuacha kumwabudu Mungu wake
6. Mke wa Isaka alihamisha baraka ya uzaliwa wa kwanza kutoka kwa Esau kwenda kwa Yakobo aliyempenda
7. Sara alimshawishi ibrahim azae na housegirl kisha baadae kamshawishi tena amfukuze pamoja na katoto kalikozaliwa ikawa hivo
 
Umemaliza kila kitu, akili alizopewa mwanamke sio za kawaida.... Hiyo mifano hapo juu yatosha namie kwa sauti kubwa nasema AMINA

Back to topic: nadhani tumejiingiza wenyewe.
 
Kwahiyo na Soccer ya Wanawake imeanzia Beijing?

Nimeipenda hiyo ya Mwanamke akiazini msikitini.... Uislam na Mabadiliko Oyeeee
 
Shida watu wanashindwa kutofautisha kati ya EQUALITY na EQUITY.
Equity - Get what you deserve.
Equality - Never
Fafanua mkuu!
Back to thread,
Ukilima shamba ukapanda mazao, magugu yakiota lazima yapaliliwe. Usipoyapalilia kuna uwezkano yakaharibu pando lako. Pando la Mungu lilikuwa Adamu, Eva katokea kama gugu, gugu ni kinzani kwa pando halisi. Hivyo alowaingiza wanawake ni ibilisi kwa kuwa hapendi pando la Mungu.
Nimekuwa nikihudhuria kwenye maombi, linapotokea kuombewa mtu na mapepo yakaripuka, utasikia "tumetumwa na bibi yake / shangazi yake" Mbona hayasemi tumetumwa na mama mdogo / mjomba / babu?
Hii ni uhakika kwamba wanawake ni mbinu ya ibilisi.
 
Tatizo lako unakurupuka unaishi kizamani wakati biblia ina mambo mapya. Biblia inasema hivi Kwa maana Bwana (MUNGU) ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume (Yeremia 31:22b). kuhusu wanawake kuhubiri, soma Zaburi 68:11 " Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa"

Nadhani Mungu aliamua kuwakabidhi wadhifa huu kwa sababu ya CV zao
1. Wanaume wote walimshindwa Samson ila Delila akamnasa kilaini kabisa
2. Adam alishindwa kusimamia maagizo ya Mungu wake kamsikiliza mkwewe
3. Nuhu mcha mungu aliambiwa mkufuru Mungu, akalaani siku aliyozaliwa na tumbo lililomzaa
4.Wanawake ndio walikuwa wa kwanza kujua kuwa Yesu amefufuka
5. Yezebeli alimshawishi mwanaume kuacha kumwabudu Mungu wake
6. Mke wa Isaka alihamisha baraka ya uzaliwa wa kwanza kutoka kwa Esau kwenda kwa Yakobo aliyempenda
7. Sara alimshawishi ibrahim azae na housegirl kisha baadae kamshawishi tena amfukuze pamoja na katoto kalikozaliwa ikawa hivo

Psalm 68:11 King James Version (KJV)
11 The Lord gave the word: great was the company of those that published it.
 
Nyie mna pembe? Mikia,? Manyoya? Mna function tofauti,? Hamfi? Mna nini extra cha kujiona nyie ndo wenyewe tu sisi tutolewe kwenye hesabu?
Swali liko pale pale, nani aliwaingiza kwenye hesabu ya wanadamu? Awali hamkuhesabiwa. Wana wa Adamu walikuwa wawili Kain na Abel, unafikiri katika uzao wa Adamu hakuzaliwa binti? La hasha! walizaliwa ila hawakuhesabiwa.
 
Tatizo lako unakurupuka unaishi kizamani wakati biblia ina mambo mapya. Biblia inasema hivi Kwa maana Bwana (MUNGU) ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume (Yeremia 31:22b). kuhusu wanawake kuhubiri, soma Zaburi 68:11 " Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa"

Nadhani Mungu aliamua kuwakabidhi wadhifa huu kwa sababu ya CV zao
1. Wanaume wote walimshindwa Samson ila Delila akamnasa kilaini kabisa
2. Adam alishindwa kusimamia maagizo ya Mungu wake kamsikiliza mkwewe
3. Nuhu mcha mungu aliambiwa mkufuru Mungu, akalaani siku aliyozaliwa na tumbo lililomzaa
4.Wanawake ndio walikuwa wa kwanza kujua kuwa Yesu amefufuka
5. Yezebeli alimshawishi mwanaume kuacha kumwabudu Mungu wake
6. Mke wa Isaka alihamisha baraka ya uzaliwa wa kwanza kutoka kwa Esau kwenda kwa Yakobo aliyempenda
7. Sara alimshawishi ibrahim azae na housegirl kisha baadae kamshawishi tena amfukuze pamoja na katoto kalikozaliwa ikawa hivo
Fikiri ki upande mwingine pia utaona jamaa anamaanisha nini?
 
usikopi na kupesti kila kitu, mwisho utauliza kwanini Mungu hajaruhusu kwako majipu kama ya Ayubu wakti kakiruruhusiwa kapele tu kelele nyiingi.
 
Aisee hii mada ni hatari. Ila watu wanajaribu kuleta habari za equality hata Mungu mwenyewe hakuiweka isipokuwa ametoka equity. Hebu nipatieni mfano mmoja wa kiongozi enzi za biblia
 
HAkuna mwanamke asiyekuwa mwanamke.... Kufel kwa wanaume ndio kufaulu kwao how come mwanaume anajuwa mstari wa mbele eti kutetea haki z wanawake... Kwani walikuwa nazo lini na wakaporwa na nani mpaka wazidai?
 
Back
Top Bottom