Nani aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu?

Lini haswa tulianza kuwahesabu wanawake na watoto kwenye mambo ya Mungu na mengineo ya msingi? Tukirudi nyuma hata idadi ya waliolishwa mikate na Yesu, watoto na wanawake hawakuwepo kwenye ile idadi, na kuna mifano mingine mingi. Wachungaji wanawake ni wengi sana siku hizi sasa hivi utasikia Azana za wanawake misikitini any way.

Nani haswa aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu? Maana hii dhambi/ au niseme huu udhaifu wa wanaume unaanza kututafuna wanadamu kimya kimya ikianzia na Ujerumani, Uingereza na hata taifa kubwa duniani Marekani soon linaingia kwenye mtego wa wanawake.

Najua kuna mtakao shindwa kuona hoja yangu, pole yenu.

Kwa mlioiona tafadhali athari yake nini hii kitu?
Jibu raisi hilo mkuu,
SHETANI ..
Shetani huwatumia wanawake kufanikisha mambo yake kwa wana wa Mungu,
1. Hawa alimdanganya Adamu
2. Delira akamcorn Samson
Mifano ni mingi sana tena kwenye maandiko matakatifu.
 
Duuuu we jamaa umewaza sana mbali aisee kama greti thinka kweli hv......dah unajua nakuelewa sana wewe boya, sema basi tu! Enewei nyambaf zako wewe! Kuna wapuuz watakupuuza!
Duh eee kweli!!!
 
Wanatuburudisha sana waacheni wanawake nao wawe na madaraka, mimi hata wakati wa mechi Mwanamke akitaka awe juu sina tatizo, natuma makombora huko huko juu
Kaka umeniua kabisa duuuu...ila ile style ya juu mm siipend kabisa nao wanaipenda kama nini mimi akishaanza kuja tuu juu naanza visingizio
 
Lini haswa tulianza kuwahesabu wanawake na watoto kwenye mambo ya Mungu na mengineo ya msingi? Tukirudi nyuma hata idadi ya waliolishwa mikate na Yesu, watoto na wanawake hawakuwepo kwenye ile idadi, na kuna mifano mingine mingi. Wachungaji wanawake ni wengi sana siku hizi sasa hivi utasikia Azana za wanawake misikitini any way.

Nani haswa aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu? Maana hii dhambi/ au niseme huu udhaifu wa wanaume unaanza kututafuna wanadamu kimya kimya ikianzia na Ujerumani, Uingereza na hata taifa kubwa duniani Marekani soon linaingia kwenye mtego wa wanawake.

Najua kuna mtakao shindwa kuona hoja yangu, pole yenu.

Kwa mlioiona tafadhali athari yake nini hii kitu?
Mkuu unaongea mambo yabkufikirika hasa lini uliona mwanamke anaadhini au anakuwa na adhana yake?

Siku zote hakuna adhana ya mtu mmoja mmoja au kundi fulani la watu
 
Azana za Wanawake misikitini sijawahi sikia, ni vema ungesema ni wapi ulisikia?

Ila katika maandiko hasa Agano la kale mwanamke hapaswi kabisa kukaa madhabauni kwa kuwa ni najisi.

Haya mambo yameaanzia Beijing.
Azana za wanawake zipo bhana mm nmewahi kuzisikia maeneo ya mashenzin street
 
Ila jamaa umewaza mbali! Kama Mungu mwenyewe anasema tuishi nao kwa akili.sisi tunakubali watutawale.Hakika hii ni laana.
Hata katika mitume Wa yesu hapakuwa na mtume Wa kike
 
Kuongozwa na mwanamke ni bonge la UBOYA,, marekan soon itakuwa chin ya manzi km ujeruman na uingereza
Halafu ukiangalia kwa mbali utagundua nchi ambazo wanawake wamepewa nafasi za juu na mamlaka makubwa utaona hata wanaume waliopo nchi hizo wameambukizwa tabia za kike kama vile kutaka kubanjuliwa, ona cameroon, makam wa rais wa marekan
 
i love this thread....nimejikuta naelewa vitu kibao,ukianzia na MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU ISHI NAE KWA AKILI
 
Bi Hillary Clinton akishinda uchaguzi Marekani ndo itakuwa haki sawa na wanaume,Haijawahi tokea marekani mwanamke kuwa rahisi.Akishinda tujiandae wanaume kutawaliwa na mwan@mke na Haki sawa ndo itasimamiwa hapo.
 
Back
Top Bottom