Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
My friend leading is more than that! Kumbuka JK got 80% in 2005... lakini kama asingefanya kazi ya ziada 2010... jahazi lilikuwa linazama...Asante Kasheshe ila nadhani unaelewa kuwa sehemu kubwa ya hawa waheshimiwa wanafanya kazi kwa vidole yaani kuagiza na kuletewa report na kwa misimamo yao kwa utendaji wetu wa kirasimu ambao wanapenda kupigiwa kelele na kufuatiliwa nyuma watakuwa bora kuliko baadhi ya hizo picha tunazoambiwa ni mawaziri
I can assure... kwa mfano wapo viongozi wazuri zaidi ya hata hawa waliogombea urais in 2010. Hivyo hivyo kwenye uwazir wapo watu makini sana lakini kwa kuwa hawapigi makelele we don't see them...
Lakini Tanzania imefikia mahali wale wanaopiga kelele ati ndio viongozi wazuri... it is not always true... angalia Amani Abeid Karume... anaongea kwa taratibu but look his achievement... sasa subiri uone Dk. Shein atakavyoiendesha Zanzibar ... but naturally he doesn't make noises.
Katika baraza la mawaziri kama Kilango toa! Magufuli I'm okay kama waziri lakini sio kama waziri mkuu!!!