Elections 2010 Nani akipewa Uwaziri, Utashangaa, utasikitika au utafurahia?

Lowasa, Chenge, Rostam, Sofia, Ghasia, Kawambwa, Burian, Mkulo, Ngeleja, Mahanga..nitashangaa na kusikitika sana

Naomba niongezee hapo: Marry Nagu,Rita Mlaki,Mama Sita,Masha,Sumari naweza nikafa kwa kihoro maana atakuwa JK amechemka kupitiliza
 
Pinda kutupwa nje ya u_PM
Magufuli OUT
Sitta OUT

January Makamba IN

Hakika hili nalitegemea, ila nahisi nitashindwa kuvumila, nahisi nitalia na kuumia kupita kiasi. But am sure JK has nothing to lose..... coz he has alredy achieved what he wanted 2010 -2015. Mungu tusaidie.
 
Uwaziri hausomewi bwana..... Vicky kamata naibu waziri wa fedha na megiji full waziri wa fedha tena!
 
Natamani kama baraza la mawaziri litakuwa hivi Magufuli PM. Sitta utawala bora, Ane Kilango mambo ya ndani, Mwakyembe mali asili na utalii, Ole telele ulinzi, Ole sendeka miundombinu, Mwandosya nishati na madini, Lucas Selelii Kilimo na chakula
Ole Sendeka na failure yake ya F6 ataweza kumeet requirements kweli? Labda awe ameungaunga hadi chuo naye waweza kuta ana PHD ka ya Kaka mkubwa!
 
Bula unafiki salama ya awamu ya nne ni kumrejesha edward ngoyai lowasa kitini wakamilishe zoezi la kuijenga awamu hii angalau legacy ionekane vema.

Mwanakijiji hawezi kubali, atafufua Richmond na issue zileeee
 
Pinda kutupwa nje ya u_PM
Magufuli OUT
Sitta OUT

January Makamba IN

Hakika hili nalitegemea, ila nahisi nitashindwa kuvumila, nahisi nitalia na kuumia kupita kiasi. But am sure JK has nothing to lose..... coz he has alredy achieved what he wanted 2010 -2015. Mungu tusaidie.
Hapa Mkuu Tupo pamoja, Hiyo kauli nimekuwa nawaambia watu wengi sana , na Kipindi hiki ndio mtaona rangi halisi ya JK.
 
Akirudishwa Mizengo Kayanza Peter Pinda itakuwa bomba sana,hakuna sababu yoyote ya msingi ya kumtoa na kumweka mtu mwingine anafaa kumalizia ng'we hii 2010-2015.

Go Pinda go.
 
Huyo anayesema Tibaijuka anamjua vizuri? Unajua kwanini katoka UN habitat? msikurupuke kushabikia tu unajua haya mambo lazima kufanyia uchunguzi kwanza. Tusije tukaweka vinyonga baabdaye wakatugeuzia rangi

Mpasuajipu, Tafadhali naomba ufafanua kidogo
 
yeyote akipewa uwaziri katika nafasi yoyote kwanza sitashangaa pili sitafurahi bali naweza kusikitika tu kuwa nchi inazidi kutokomea kunakojulikana kwenye maafa sababu kuu ni kuwa utendaji wa wa baraza la mawaziri unafahamika ni mafia style/system hakuna anayeruhusiwa kutoka nje ya mstari.kilichobaki tuombe mungu tupate mawaziri wataka amua kuwa "machizi" kwa faida ya watanzania waigeuke ccm!
 
Sioni hata mmoja anayefaa kuwa waziri wa kitu chochote wote feki tu sio huyo Mwakyembe,Kilango wote ni wabovu kutwa kupiga kelele tu bungeni hawafanyi lolote. Hii nchi ilifaa iende yenyewe tu cha mbele kitaeleweka kwani hata sasa mnao hao nini walichofanya miaka yote kama si wote kujinufaisha. MIMI NITASIKITIKA HATA ACHAGULIWE NANI WOTE DUGU MOJA BANA. JK ANATAGAWA MADARAKA KAMA PEREMENDE NI KAMA ANAENDESHA NCHI MWENYEWE.
 
Back
Top Bottom