Elections 2010 Nani akipewa Uwaziri, Utashangaa, utasikitika au utafurahia?

Asante Kasheshe ila nadhani unaelewa kuwa sehemu kubwa ya hawa waheshimiwa wanafanya kazi kwa vidole yaani kuagiza na kuletewa report na kwa misimamo yao kwa utendaji wetu wa kirasimu ambao wanapenda kupigiwa kelele na kufuatiliwa nyuma watakuwa bora kuliko baadhi ya hizo picha tunazoambiwa ni mawaziri
My friend leading is more than that! Kumbuka JK got 80% in 2005... lakini kama asingefanya kazi ya ziada 2010... jahazi lilikuwa linazama...

I can assure... kwa mfano wapo viongozi wazuri zaidi ya hata hawa waliogombea urais in 2010. Hivyo hivyo kwenye uwazir wapo watu makini sana lakini kwa kuwa hawapigi makelele we don't see them...

Lakini Tanzania imefikia mahali wale wanaopiga kelele ati ndio viongozi wazuri... it is not always true... angalia Amani Abeid Karume... anaongea kwa taratibu but look his achievement... sasa subiri uone Dk. Shein atakavyoiendesha Zanzibar ... but naturally he doesn't make noises.

Katika baraza la mawaziri kama Kilango toa! Magufuli I'm okay kama waziri lakini sio kama waziri mkuu!!!
 
Inawezekana unachosema ni ukweli uanaosema lakini je swali linakuja hao tunaodhani wanafaa tutawapta kwenye hilo baraza?
 
Sintashangaa kama Amos Makalla akawa waziri wa Fedha ili waweze kuzichakachua vizuri za hazina!!
 
My friend leading is more than that! Kumbuka JK got 80% in 2005... lakini kama asingefanya kazi ya ziada 2010... jahazi lilikuwa linazama...

I can assure... kwa mfano wapo viongozi wazuri zaidi ya hata hawa waliogombea urais in 2010. Hivyo hivyo kwenye uwazir wapo watu makini sana lakini kwa kuwa hawapigi makelele we don't see them...

Lakini Tanzania imefikia mahali wale wanaopiga kelele ati ndio viongozi wazuri... it is not always true... angalia Amani Abeid Karume... anaongea kwa taratibu but look his achievement... sasa subiri uone Dk. Shein atakavyoiendesha Zanzibar ... but naturally he doesn't make noises.

Katika baraza la mawaziri kama Kilango toa! Magufuli I'm okay kama waziri lakini sio kama waziri mkuu!!!

U seem true but kama mtu hawezi kujieleza tutakuwaje na imani naye? Hapo ndipo utahitaji tukupime kwa matendo zaidi na kama nayo hayako wazi NO WAY! Magufuli kazunguka wizara nyingi na kote kafanya vizuri, kwa uzoefu huo he's the perfect man 2 b PM kwa sasa as far as dirty sisiem is concerned kama kweli inataka ieleweke kweli kwa wananchi 2015
 
Makongoro Mahanga,hapa nitashangaa sana huyu mwizi wa kura na atampotezea muda JK WA KUCHAGUA WAZIRI MWINGINE BAADA YA MAHAKAMA KUMNYANGANYA UBUNGE.
 
Mimi binafsi nitafuraia wafuataao wakipewa Uwaziri haijalishi Uwaziri wa vitu gani.. just any!

Edward Lowassa
Rostam Aziz
Andrew Chenge
Lau Masha

Wawili kati ya hao wana uwezekano mkubwa wa kupewa Uwaziri..
 
Kuna watu/mtu ambaye ukisikia kapewa Uwaziri au hata Unaibu utashangaa, utasikitika au utafurahia, ni yupi huyo?
Mzee Mwanakijiji, Edward Ngoyai Lowasa akirudishwa kuwa PM, mimi nitafurahi kwa dhati kutokana na track record yake ya utendaji, ukiondoa his role kwenye Richmond.

Huko nyuma ilishawahi kutokea
Kawawa alikuwa PM 22 January 1962 mpaka 9 December 1962 post ilipofutwa. Akarudishwa tena 17 February 1972 hadi 13 February 1977

Edward Moringe Sokoine alikuwa PM 13 February 1977 hadi 7 November 1980 akawa too much, akaondolewa akaletwa Cleopa David Msuya 7 November 1980-24 February 1983, Moringe akarudishwa tena 24 February 1983-12 April 1984 alipoitwa mbele ya haki.

Msuya akarudishwa tena 7 December 1994-28 November 1995.

Nawaombeni tusimchukie Lowassa kwa chuki binafsi, tuchukie matendo yake na kuyalaani kwa nguvu zote, lakini yeye kama binadamu hakuna mkamilifu, asamehewe, penitentiary aliyokaa imemtosha, amejifunza, atajirekebisha.

Pasco.

Binaadamu ni matendo. Mimi kweli Lowassa nilikuwa ninamkubali sana kwa utendaji ila alikuwa too much artificial, alikuwa analazimisha watu waamini ndivyo sivyo. Utakumbuka statement yake ya NDEGE YA UCHUMI WETU INAPAA. Pia alilifanya bunge kuwa butu sana na kutaka ku-control kila kitu. Ukweli tunahitaji mtendaji lakini si Lowassa.
 
Pasco.. sidhani kama wote ambao wanampinga EL wanampinga kwa sababu ya chuki; binafsi bado naamini (na nimewahi kuandika hivyo mara nyingi) kuwa ndani ya CCM hakuna the most capable politician than EL. Tatizo ni kwamba miaka aliyokuwa nje hajaonekana kuwa remorseful of what happened under him, and secondly baada ya kujeruhiwa vibaya.. atageuka na kuwa vipi this time around.
 
Mzee Mwanakijiji, naungana na wewe, hili ni tatizo, unapofanya kosa, hatua ya kukubali kosa ni muhimu sana ndipo unajutia kosa na kuomba msamaha, EL bado hajakubali kosa, anajiaminisha alionewa, macho yake ni red rage, revange mmeiona, walianza kwa Selelii wakafanikiwa, Mwakiembe ni kisiki, Sitta ndio huyo chini. King Maker atamba huko kwenye corridors kuwa its him, tusubiri line-up, acha EL arudi na 2015 asimamishwe yeye ili iwe kama kumsukuma mlevi.
 
Natamani kama baraza la mawaziri litakuwa hivi Magufuli PM. Sitta utawala bora, Ane Kilango mambo ya ndani, Mwakyembe mali asili na utalii, Ole telele ulinzi, Ole sendeka miundombinu, Mwandosya nishati na madini, Lucas Selelii Kilimo na chakula

kama kenya
 
Nitashangaa sana kama nilivyowahi kushangaa huko nyuma Emmanuel Nchimbi kuwa waziri!!!!!!!!! but this will happen!
 
Mzee Mwanakijiji, Edward Ngoyai Lowasa akirudishwa kuwa PM, mimi nitafurahi kwa dhati kutokana na track record yake ya utendaji, ukiondoa his role kwenye Richmond.

Huko nyuma ilishawahi kutokea
Kawawa alikuwa PM 22 January 1962 mpaka 9 December 1962 post ilipofutwa. Akarudishwa tena 17 February 1972 hadi 13 February 1977

Edward Moringe Sokoine alikuwa PM 13 February 1977 hadi 7 November 1980 akawa too much, akaondolewa akaletwa Cleopa David Msuya 7 November 1980-24 February 1983, Moringe akarudishwa tena 24 February 1983-12 April 1984 alipoitwa mbele ya haki.

Msuya akarudishwa tena 7 December 1994-28 November 1995.

Nawaombeni tusimchukie Lowassa kwa chuki binafsi, tuchukie matendo yake na kuyalaani kwa nguvu zote, lakini yeye kama binadamu hakuna mkamilifu, asamehewe, penitentiary aliyokaa imemtosha, amejifunza, atajirekebisha.

Pasco.
Mawaziri wakuu Kawawa Sokoine Msuya tunaelewa walitoka vipi na kurudi vipi lakini kutoka kwa Lowassa ni tofauti kabisa yeye alitoka kwa kashifa.
 
Iwe hiv

  • Jakaya mrisho kikwete akiwa pia Waziri wa Mambo ya nje. Hiyo ofisi ya reception ya serikali Inamfaa pia( Rais Amiri jeshi Mkuu na waziri wa mambya nchi za nje )
  • Prof Anna Tibaijukaawe PM
  • January MakambaApewe wizara ya Kilimo.
teh teh teh
 
Sijui kwa sababu nadhani wote hawafai kuwemo serikalini, including Kikwete mwenyewe!!!!!!!.
 
Juma Nkamia, Nampima ndani ya miaka mitatu. Akiboronga tu, Msandawe halisi nitamng'oa 2010. Ninauchungu na watu wangu. Nimechoka kuzulumiwa na kuona ndugu zangu wanazulumia na utawala mbovu wa Chi Chi Emu. Kondoa Kusini hasa sehemu za Usandawe, kwa hali ya maisha ya wanachi moja moja ilivyo, utajiuliza maswali mengi
 
Mzee Mwanakijiji, naungana na wewe, hili ni tatizo, unapofanya kosa, hatua ya kukubali kosa ni muhimu sana ndipo unajutia kosa na kuomba msamaha, EL bado hajakubali kosa, anajiaminisha alionewa, macho yake ni red rage, revange mmeiona, walianza kwa Selelii wakafanikiwa, Mwakiembe ni kisiki, Sitta ndio huyo chini. King Maker atamba huko kwenye corridors kuwa its him, tusubiri line-up, acha EL arudi na 2015 asimamishwe yeye ili iwe kama kumsukuma mlevi.

Try new things, kwa nini watu wale wale tu?? Mimi nadhani mtu yeyote anayetuhumiwa au kuhusishwa na ufisadi, rushwa au matumizi mabaya ya madaraka hapaswi kuwa kwenye line-up. Hawa jamaa wakirudi watarudi na strategies mpya za kujichimbia simply they are coming for life, trust me.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom