Namzimikia sana Faizafoxy!

Natamani huyu mtu ningemwona kwa macho ndo ningesema kitu manake mhhh usikute........
 
Natamani huyu mtu ningemwona kwa macho ndo ningesema kitu manake mhhh usikute........
Mimi sihitaji kuona sura ya mtu ndiyo nimpende, kupenda na kutamani ni vitu viwili tofauti. Kutamani kunahusiana na sura, miguu mizuri, mwanya, makalio makubwa au madogo, maziwa makubwa au madogo, midomo ya denda na vingine vingi tu.

kupenda ni zaidi ya matamanio ya mwili, kupenda kunahusiana sana na jinsi huyo mtu unayempenda anavyofikiri. Ndiyo maana kuna mtu hapa kasema Faiza atanipa kazi ya kusafisha mabanda ya nguruwe nyumbani kwake, lakini anasema hivyo huku akijua misimamo ya Faiza kuhusu Nguruwe, hayo ndiyo masihara ya dhidi ya Faiza na jibu lake sote tunalitarajia!!
 
Natamani huyu mtu ningemwona kwa macho ndo ningesema kitu manake mhhh usikute........

Katika kanuni za kuandika kama hujamalizia neno unatumia dots tatu tu. Sasa wewe punguza hizo, zinaonesha kuwa huna darasa la maana...
 
Back
Top Bottom