Namzimikia sana Faizafoxy!

Usanii huu achana nao. Vilaza wawili wamekubaliana waje kupeperushiana bendera. Hivi unaweza kumzimia FF kama hukushauriwa na mganga?!
Mimi naweza kuwa Kilaza lakini FF unamuonea. Level yake ni juu sana kuliko wengi wetu hata kama sikubaliani naye kwenye mambo mengi!!
 
Mbona unaongea kwa upole hivi FF anawafanyaga nini?

Acha ushamba wewe!!nimejiunga hapa jf kwa malengo yaliyokusudiwa na kama nimesaidiwa kwa tatizo nilokua nalo ni lazima nimshukuru alonisaidia!!sijui wewe wa wapi na alokufunza ni nani?!!
 
Back
Top Bottom