NAMZIMIA JF member .....Lakini naogopa.....

Baba jaman hata jina la mwanao umelisahu??
Kuna tofauti kubwa kati ya Cantalisia na sia!!!
Na wewe usijitie hamnazo, kataja herufi za mwisho za mwenye jina hilo. Mie najua mbinu za wasalandiaji, mwambie asubiri umalize masomo, la sivyo Jela inamtafuta, siwezi kulipa ada kisha nivune mabua.................Anajitia kusema mafumbo. Sisi wazee wa zamani hatufumbiwi kitu tuna extra maili ya kufikiri na kutafakari, kisha tunachukua hatua.......................LOL
 
Wana MMU mwenzenu namzimia sana huyu mdada member mwenzetu hapa jamvini jina lake linaishia na neno "............sia" lakini naogopa kumwambia au jinsi gani nimuanze,naombeni ushauri wenu wakubwa zangu( ma bro na sister zangu) plse!

ngoja nikuandikie ukamsomee..lakini wewe upo idara gani? maana kila idara ina namna yake ya kuanza kutongoza sema fasta nikushushie mistari mistari ukishindwa kumsomea itabidi ukatoe single akusikilize
 
Wana MMU mwenzenu namzimia sana huyu mdada member mwenzetu hapa jamvini jina lake linaishia na neno "............sia" lakini naogopa kumwambia au jinsi gani nimuanze,naombeni ushauri wenu wakubwa zangu( ma bro na sister zangu) plse!
ulisha wahi kumuona!!?
 
Na wewe usijitie hamnazo, kataja herufi za mwisho za mwenye jina hilo. Mie najua mbinu za wasalandiaji, mwambie asubiri umalize masomo, la sivyo Jela inamtafuta, siwezi kulipa ada kisha nivune mabua.................Anajitia kusema mafumbo. Sisi wazee wa zamani hatufumbiwi kitu tuna extra maili ya kufikiri na kutafakari, kisha tunachukua hatua.......................LOL

We mzee tutakung'oa ndevu.....Ebu tulia uko usubirie hela ya kahawa tu!!
 
we kweli u-mgeni humu, unamuita Mtamvuzi broo ilhali unamzungumzia Ca.....ia?

Ba'mkwe naomba umsamehe kijana....

sasa na weweee.......kumponda mwenzio ili umlie denge sio vizuri ujue!kwa pupa kuona umerahisishiwa kazi(guess hukuwa unajua uanzaje) hata jina la ''mkwe'' umechapiaaaa mbaya!!au huyo ni member mpya!!?
 
Na wewe usijitie hamnazo, kataja herufi za mwisho za mwenye jina hilo. Mie najua mbinu za wasalandiaji, mwambie asubiri umalize masomo, la sivyo Jela inamtafuta, siwezi kulipa ada kisha nivune mabua.................Anajitia kusema mafumbo. Sisi wazee wa zamani hatufumbiwi kitu tuna extra maili ya kufikiri na kutafakari, kisha tunachukua hatua.......................LOL

Hahahaha hahaha!nina wasiwasi na kauli yako baba!maana mara zote ukioneshwa mihela huwa unafuta kauli zako.
 
we mwambie tu, kwenye kuomba majibu ni mawili na yote yana haki sawa, aidha kukubaliwa au kukataliwa, maisha yanaenda .
 
Back
Top Bottom