NAMZIMIA JF member .....Lakini naogopa.....

Upo darasa la ngapi?
Wala huna haja ya kumwuliza yuko darasa la ngapi, wewe angalia hapa tu:
Join Date : 4th February 2012


Hawa ni wale wanaotoroka kwao fesibuku wakidhani huku kuna "ulaji".
Siku ya pili tu kujiunga anatafuta mchumba:
HAPA
 

Duh, alivyoona ngoma ina full ma-confidence dogo kaona isiwe taabu; keshaingia mitini!!! Nawe lazima ujue unaongea na nani, ulitakiwa uende slow slow ili umjenge kisaikolojia...c unaona kijana keshasepa?!
Mzee wa Totoz NasDaznundaz.. Kama Dogo kasepa najua ndio ushaanza kujipigia promo kucover nafasi hiyo
 
Back
Top Bottom