NAMZIMIA JF member .....Lakini naogopa.....

There are currently 5 users browsing this thread. (5 members and 0 guests)
Gerrard, Butola, Mkuu wa chuo, Pokot, Cantalisia
Kazi kwako....
Hahahahhah!
Mie ni Cantalisia na sio sia jaman,
Hebu muulizen vizuri lol!
 
Wana MMU mwenzenu namzimia sana huyu mdada member mwenzetu hapa jamvini jina lake linaishia na neno "............sia" lakini naogopa kumwambia au jinsi gani nimuanze,naombeni ushauri wenu wakubwa zangu( ma bro na sister zangu) plse!
Mheshimiwa Kisaka80 naomba uwe specifiki kwa kutaja jina kamili maana km unavoona wadau wananishikia bango hapa wakati hicho ni kifupisho cha either jina au kitu tu!na sio jina moja au kitu kimoja kinachoishia na "sia"
Utakuwa umenisaidia na mm pia kukuelewa!!!
 
Hahahahhah!
Mie ni Cantalisia na sio sia jaman,
Hebu muulizen vizuri lol!

Kule Bungeni Mh.Speaker huwa anasema wengi wape.....waliosema ndio wameshinda.....lakini naona unazidi kukanusha.... huenda yaweza kuwa ni jibu sahihi ...lol
 
Sio mwenyeji alafu anaparamia tu kama ni mwanaume mwenzio utamsaidiaje wengine humu wanaume wanaigiza kama wanawake siku ukijipindua tu umeliwa jicho
Asante kwa ushauri bro, kifupi nimevutiwa nae sana ila kwa kuwa mimi ni si mwenyeji sana ndio maana niliona itakua busara kuomba ushauri toka kwenu wakubwa zangu.
 
Mheshimiwa Kisaka80 naomba uwe specifiki kwa kutaja jina kamili maana km unavoona wadau wananishikia bango hapa wakati hicho ni kifupisho cha either jina au kitu tu!na sio jina moja au kitu kimoja kinachoishia na "sia"
Utakuwa umenisaidia na mm pia kukuelewa!!!

Utamu wa ngoma ni kuingia ndani na kucheza, na ushindi wa mchezo wa mpira wa miguu ni idadi ya magori ya kufunga.......Bibie mimi naona wengi wape au wewe unaonaje juu ya hilo......kwa sababu ni ngumu sana ukweli utabakia kuwa ukweli daima...lol..!
 
Ok wengi wamasema unaniongelea mm,
Nataka kauli yako na si kupitia watu,JE UNAEMZIMIA NI MM CANTALISIA BINTI MTAMBUZI??????
 
Embu nyoosha maelezo mtoto wa kiume mhusika kashakuja anakwambia dhibitisha kama ni yeye unaanza kung'ata kucha embu nenda kajipange alafu urudi tena upya
Utamu wa ngoma ni kuingia ndani na kucheza, na ushindi wa mchezo wa mpira wa miguu ni idadi ya magori ya kufunga.......Bibie mimi naona wengi wape au wewe unaonaje juu ya hilo......kwa sababu ni ngumu sana ukweli utabakia kuwa ukweli daima...lol..!
 
Utamu wa ngoma ni kuingia ndani na kucheza, na ushindi wa mchezo wa mpira wa miguu ni idadi ya magori ya kufunga.......Bibie mimi naona wengi wape au wewe unaonaje juu ya hilo......kwa sababu ni ngumu sana ukweli utabakia kuwa ukweli daima...lol..!

Acha kutongoza kwa misamiati jimwage mzazi kuwa wazi ndio tuanze kuchangia
 
Back
Top Bottom