Naomba mwenye mawasiliano anisaidie. Ntakuwepo TZ soon
Yupo japan kaolewa na bwana mmoja anaishi huko, nitakupatia mawasiliano yake, punde atakapokubali nifanye hivyo.
Unamfahamu vizuri? au huyo ni mwingine?
Ndiye huyo - Hawa jamaa ni jirani zangu hapa Tokyo... Kwa ruhusa yake nitakupa mawasiliano yake!
Yupo japan kaolewa na bwana mmoja anaishi huko, nitakupatia mawasiliano yake, punde atakapokubali nifanye hivyo.
Just tell me how she is (appearance) and if possible her home place here in TZ if you know
una shida gani naye? namfahamu si amemaliza UDSM kwenye miaka ya 2000 na kitu?
YAH nilitaka tu kufahamu habari zake maana ni muda mrefu hatujawasiliana wala kuonana. It is about 10 yrs. What I mostly remember is that I tried to seduce her bythattime BUT she was too mgumu with msimamo that she dont and cant till married.
Just tell me how she is (appearance) and if possible her home place here in TZ if you know
Sa' unatafuta pa kufikia, au?Naomba mwenye mawasiliano anisaidie. Ntakuwepo TZ soon
I thought umesema utarudi Tanzania soon?
Save it for yourself now maana she is married! Halafu umeandika jina lake halisi what if mumewe akisoma?! Unataka watu wasilale vizuri kama watapitia hapa JF...
Ila thats the truth, ukienda Japan ukamsabahi na familia yake uamini vizuri ila nothing more..
Unamfahamu vizuri? au huyo ni mwingine?
YAH nilitaka tu kufahamu habari zake maana ni muda mrefu hatujawasiliana wala kuonana....
...It is about 10 yrs. What I mostly remember is that I tried to seduce her bythat time BUT she was too mgumu with msimamo that she dont and cant till married.
sasa unacheka nini?