Natafuta namba ya Paul Makonda

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
307
348
Wakuu poleni na kazi.

Naombeni yeyote mwenye mawasiliano yani namba za makonda naomba anisaidie naimani kupitia yeye changamoto yangu itaisha pia kama MTU anajua nitampataje please naomba anisaidie.

Kama pia yupo hapa JF please nitafurahi akinitafuta pm.naimani kupitia yeye nitapata msaada.

Asanteni sana ndugu zangu muwe na maisha mema
 
Kama pia yupo hapa jf please nitafulahi akinitafuta pm.naimani kupitia yeye nitapata msaada.

Asanteni sana ndugu zangu muwe na maisha mema
Lazima useme una shida nayo gani ili usaidiwe. Sio kusema tu alimradi kusema.

Ova
 
Wakuu poleni na kazi.

Naombeni yeyote mwenye mawasiliano yani namba za makonda naomba anisaidie naimani kupitia yeye changamoto yangu itaisha pia kama MTU anajua nitampataje please naomba anisaidie.

Kama pia yupo hapa JF please nitafurahi akinitafuta pm.naimani kupitia yeye nitapata msaada.

Asanteni sana ndugu zangu muwe na maisha mema
Piga hata usiku wa manane: 0767 150 400
 
Piga hata usiku wa manane: 0767 150 400
Umepatiwa sasa mpigie, nadhani hivi karibuni atatoa msimamo wa chama kuhusiana na ripoti ya CAG.
Pia moja ya kazi za uenezi ni kuongeza wanachama hai, asimamie mchakato wa kadi za kiditali tunaziitaji na watanzania wanaziitaji, "kadi hai zitasaidia chama kufahamu wanachama hai" na ndio kura sahihi.
 
Hiyo namba aliyo patiwa sio ya Makonda
 
Back
Top Bottom