Namtafuta neema aligawesa

Status
Not open for further replies.
YAH nilitaka tu kufahamu habari zake maana ni muda mrefu hatujawasiliana wala kuonana. It is about 10 yrs. What I mostly remember is that I tried to seduce her bythattime BUT she was too mgumu with msimamo that she dont and cant till married.

kama lengo lako ndio ilo kuwa ulimtokea akakukataa na sasa unamtaka tena, labda nikupe tu ukweli kuwa huyu dada mimi binafsi nimefanya naye kazi kwenye halmashauri ya wilaya kwenye moja ya mikoa yetu hapa Tanzania yeye akiwa kama DISTRICT HUMAN RESOURCE OFFICER (DHRO). Kimsingi ameshaolewa na mpaka nahama kwenye wilaya hiyo mwaka 2007alikuwa na watoto wawili wa kiume. Wanapendana sana na mumewe. Na wewe ndio umetaja jina lake halisi live. Ndoa za watu jamani
 
What do you think this is 1-800-CREATE-DIVORCE or something?

Kama mlijuana miaka 10 ungetafuta watu wengine mliojuana nao, haya mambo ya kuanika majina ya watu kwenye mtandao sio fresh, halafu unamwaga mpunga wote, sasa kama mumewe sio mtu wa confidence unaweza kuleta makubwa.

Kama gia zenyewe ndiyo mapepe hivi haishangazi ulikula kiatu mazee.
 
Nimefurahishwa sana jinsi majibu ya uhakika yalivyopatikana kwa uharaka hapa JF; hii ndiyo faida halisi ya JF-funzo moja nadhani tuwe makini kwenye majina hasa kama saula hili lilivyojionyesha hasa mtoa mada alivyokuwa muzai zaidi -alijaribu kutupa kamba akatoswa. Kama waliotangulia- yaweza kuwa shashe kwa jamaa huko aliko. Kwa niaba ya mtoa mada namwomba radhi -juu ya hili-its virtual world-still imperfect!!!!
 
...Nakuunga mkono! ila kwakuwa jamaa mwenyewe ka admit alipigwa kibuti, na hakujua kama tayari bibie keshaolewa, naamini hapajaharibika sana.

kwa niaba ya wana JF hasa jukwaa la mahusiano, naomba radhi kwa wote waliokwazika na thread hii.

Ama kuna yeyote mwenye maoni tofauti na thread hii kabla hatujaomba thread hii kufungwa?
 
YAH nilitaka tu kufahamu habari zake maana ni muda mrefu hatujawasiliana wala kuonana. It is about 10 yrs. What I mostly remember is that I tried to seduce her bythattime BUT she was too mgumu with msimamo that she dont and cant till married.

Kama alikukataa kipindi kile je hivi sasa atakukubali?, halafu naona unaingilia anga za watu. Huyu Dada mimi ninamfahamu na jina lake kamili ni

NEEMA J. ALIGAWESA, kama ndiye huyu, sema nikupe info zaid ila dada huyu sasa ameolewa na ana watoto. kama ndiye please PM me nikupe taarifa zake zaidi. Ila kama unahitaji kumsalimia tu na si kuweka msisitizo kuhusu 10 years back alivyokupiga kibuyu.
 
Last edited:

Kwa heshima na taadhima naomba tuufunge mjadala huu. Bi Neema kwa mtizamo wa haraka haraka ni mama mwenye heshima zake, na mwenye kuheshimiwa katika jamii. Kuendelea kujadiliwa hapa itakuwa kumkosea yeye, na familia yake nidhamu.

Kama tumekosea tusameheane. Shukran.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom