Wa-TZ sijui katuloga nani!Waziri Magufuli alitakiwa sasa awe Ukonga Jela kutumia adhabu yake ya miaka mingi kwa uhujumu uchumi kwa kujiuzia mali za Serikali ya Jamhuri wa Muungano ya Tanzania lkn badala yake eti anasifiwa!
Magufuli mwaka 1995-2005 akiwa Waziri kweney serikali ya Rais Mkapa ndiye aliye asisi na kusimamia uuzwaji wa nyumba za serikali;kuna nyumba hadi akawauzia ndugu zake ambao wala hawakuwa watumishi wa serikali kama sheria zinavyosema!
Sijawahi ona duniani serikali inayouza nyumba zake bali nimewahi ona serikali zinazo ongeza kujenga nyumaba zake!Magufuli is most corrupt minister ever in Tanzania history;he has to be imprisonment!