Nampenda sana waziri Magufuli, ni waziri ambaye hana mfano

Waziri Magufuli ni the best Minister ever, ukimuacha marehem Sokoine.
Wewe acha kusema bila kumjua mtu vizuri....Ukishakuwa wa magamba hata tabia ni za kimagamba,Magufuli alikuwa mzuri ila magamba yamemuharibu sana siku hizi,yuko kichama zaidi na si kiutendaji....
Hana lolote jipya
 
Magufuli ni jembe kweli kweli,hata kama CDM hamtaki kumpa sifa zake jamii yote ya watanzania inajua hilo.Ni mmoja kati ya wachapakazi wengi waliopo ndani ya Chama Cha Mapinduzi.Unajua CCM inavijana wachapakazi wengi sana ndio maana inaweza fanya mabadiliko ya uongozi bila tatizo.

CCM CCM AAAA....CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NAMBA ONE!
 
Chukua wanafunzi hamsini wa walioshika nafasi za mwisho katika mtihani wa kata darasa la nne, kisha wape mtihani uleule waufanye tena! Ni dhahiri shahiri kuwa kutakuwa na wa kwanza hadi wa mwisho. Magufuli ni mjanja wa waliofeli! Siwalazimishi kukubali!
 
Ni kweli hana mfano mkuu.
Sii unakumbuka alivyouza nyumba zetu kishabiki tena kwa demu wake na nduguze?kisha akatuambia ss wananchi wa kigamboni ambao hatuna ongezeko la nauri ya kivuko tupige mbizi?sasa ww ktk maisha yako uliwahi kusikia kauli chafu kama hiyo???????

Kweli Mkuu, ni huyu huyu Magufuli asiye na mfano! HATA SUNDI MALOMO ANAJUA KAZI ZAKE.
 
Chukua wanafunzi hamsini wa walioshika nafasi za mwisho katika mtihani wa kata darasa la nne, kisha wape mtihani uleule waufanye tena! Ni dhahiri shahiri kuwa kutakuwa na wa kwanza hadi wa mwisho. Magufuli ni mjanja wa waliofeli! Siwalazimishi kukubali!

Mi binafsi namkubali sana huyu jamaa. simjui sana kwa undani ila napenda kazi zake. Habembelezi mtu aliyekosea. Umejenga barabarani bomoa. Hutaki kulipa 200 piga mbizi. Yuko straight forward. changamoto aliyonayo ni kwamba watanzania wamezoe maisha ya kubembelezwa hata kwenye makosa kisa una kadi ya ccm. Nchi haiendi hivyo bwana. Na Tanzania ya leo inahitaji Waziri Mkuu kama Magufuli ( Si mpigii upatu ni mtizamo tu).
 
Magufuli ni jembe kweli kweli,hata kama CDM hamtaki kumpa sifa zake jamii yote ya watanzania inajua hilo.Ni mmoja kati ya wachapakazi wengi waliopo ndani ya Chama Cha Mapinduzi.Unajua CCM inavijana wachapakazi wengi sana ndio maana inaweza fanya mabadiliko ya uongozi bila tatizo.

CCM CCM AAAA....CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NAMBA ONE!
Na ndo uyo uyo mliombakiza kama hutaki muweke mwingine hapo
 
Mabishano ya nini, tutoe data tuache kubwabwaja uzuri na ubaya wakati data zipo: haya jaza facts apo chini then tutakujumuisha, mfano:

Mazuri
1. Anajua urefu wa barabara zote Tz, pamoja na flyovers zinazokuja,
2. Anajua kutumia vyombo vya habari kutoa taarifa za wizara yake zaidi ya zingine,
3. Anaweza kutoa majibu kwa wananchi bila kutumia njia za kupooza makali
4.?
5.?

Mabaya:
1. Alitekeleza kwa ufanisi maamuzi ya ma-boss wake kuuza nyumba za umma kwa bei ile, nae aka-take other advantages
2. Alipindisha kale kabarabara ili kapite jimboni kwake, ili mapenz na jimbo lake yadumu,
3.?
4.?
 
Wewe acha kusema bila kumjua mtu vizuri....Ukishakuwa wa magamba hata tabia ni za kimagamba,Magufuli alikuwa mzuri ila magamba yamemuharibu sana siku hizi,yuko kichama zaidi na si kiutendaji....
Hana lolote jipya
Chama Cha Mafia hata mtu awe mzuri vipi, ama watamchakachua awakubalie yao au watamkolimba.
Mlijua wapi Fagio la Chuma lilitupwa? Mnaelewa kauli mbiu ya "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania" imetufikisha tulipo?
Yuko wapi Sitta, Mwakyembe, Mama Tibaijuka, Mtoto wa Mkulima....Wako wapi?
 
Magufuli wa kawaida sana, tofauti yake na wenzake ni kwamba yeye anatembea sana na waandishi wa habari ndio maana mnamuona anachapa kazi sana!

Hata Maige alikuwa hivyo hivyo. akikimbizana na majangili/wavuna miti hifadhini. nilimuona live ktk runinga several times. kumbe u.s.e.n.g. tu. $410,000/=???????????!!!!!!!!!!!!!!
 
Wazir bora 1995- 2005 mngesema nani kama si JK,ishu ni kutembea na vyombo vya habari,eti miaka 3 ya wizara ya uvuv kakamata meli ya wavuvi haram,wizara ya Ardhi kafanya nn?,jamaa katumia stail ya Dr.Love wa nyumba nyeupe kutumia makanjanja kumuoshea nyota!
 
Kazi kwelikweli

Binafsi namkubali Pombe Magufuli.

  1. Yupo straight kwenye maamuzi yake
  2. Ana waadabisha vizuri tu watendaji wake wabovu na legelege haangalii cheo chako
  3. Ana uwezo mkubwa wa kusimamia vipaumbele vya wizara kama vilivyo kwenye mipango na sera
  4. Anashiriki kikamilifu katika shughuli za wizara kwa kusoma na kukosoa mipango na bajeti za wizara
  5. Hana ubaguzi kwa wafanyakazi wake ukabila, dini wala cheo, anasikiliza mawazo ya hata ya wafanyakazi wa chini.
  6. Hakumbatii wawekezaji wala kushobokea rushwa zao au 10% percent zao (nina ushahidi)
  7. Amezuia huuzwaji au ukopaji wa magari ya serikali kwa wafanyakazi (hususan magari ambayo bado yapo poa tu). Viongozi wengi walikuwa wanatumia mwanya wa kujifanya magari mabovu angali mazima ili wajikopeshe

Mapungufu

  1. Alishindwa kuzuia uuzwaji wa nyumba za serikali
  2. Maneno yake makali hata mahali pasipo

Changamoto kwake


  1. Ukosefu wa fedha hadhina kunamfanya ashindwe kutimiza malengo ya wizara yake
  2. Udhaifu wa chama chake

Note: Magufuli na serikali ya Ben walikuwa na mpango wa kuuza nyumba za serikali chache ili wajenge nyumba za wafanyakazi katika wilaya mbalimbali nchini na fedha hizi zilikuwepo mpaka Ben alipokuwa anamaliza muda wake na miradi ilianza lakini awamu ya JK hawakuendeleza. Hapa walishindwa kusimamia vema huuzwaji wa hizo nyumba ila naona mipango yao ilikuwa na nia njema.

Kuwaongelea mawaziri wenzake hadharani: Miaka yote katika wizara alizozunguka Magufuli amekuwa na kawaida ya kwenda kwa rais na kablasha lake la bajeti ili apatiwe fedha za kuendeleza shughuli za wizara na hupewa go ahead na kwenda kwa waziri wa fedha ili mipango itekelezwe (hutoa msukumo wa hali ya juu kufanikisha malengo ya wizara). Inawezekana amefanya hivyo tena akapewa miahadi na mkulo lakini hajatekelezewa ndio maana akatumia hiyo mbinu
ingawa sio nzuri. Kumbuka pia hakuwa kambi ya JK huyu.

Hitimisho: Kwa mimi Magufuli ni waziri makini, bora na mchapakazi ukilinganisha na wengine.
 
Mimi natoka kanda ya ziwa anakotoka Magufuli.
Nadhani utakubaliana na mimi kuwa ni kweli mawaziri wanastahili kuadabishwa.
Je Magufuri alisaini kuunga azimio la kumung'oa PM?
 
Ni kweli hana mfano mkuu.
Sii unakumbuka alivyouza nyumba zetu kishabiki tena kwa demu wake na nduguze?kisha akatuambia ss wananchi wa kigamboni ambao hatuna ongezeko la nauri ya kivuko tupige mbizi?sasa ww ktk maisha yako uliwahi kusikia kauli chafu kama hiyo???????

Acha ujinga wewe watu wote wa kigamboni mkiongozwa na mbunge wenu mchovu ndugulile hamnazo mwanaume uliyekamilika utajadili ongezeko la shili mia tatu? sukari mafuta yanapanda bei kila siku mbona hao wabunge wenu vilaza hawakuwaambia mpinge au muandamane? Ujinga wenu na uvivu ndiyo kinawaponza mmezoea kubembelezwa kwa Magufuli mmeula wa chuya hana muda wa kupoteza kuwabembeleza wajinga mliochoka kufikiri kama wewe na kwa taarifa yako iwe isiwe magufuli atabakia kwenye baraza la mawaziri na huo ndiyo uthibitisho kwenu nyote Dr. John Pombe Magufuli ni mbuzi wa shughuli na siyo Ndugulile baada ya kuwapuuza akaona atawanasa kwa pumba wote mkamuona anajua kumbe alikuwa anapima akili zenu zimo au hamanazo. Halafu suala la kupiga mbizi ni kweli kama unaona unaweza kutembea sawa tembea majini ila usahihi majini huwa hatutembei bali huwa tunaogelea una unapiga mbizi kwa uzoba wenu watu wa pwani.
 
Back
Top Bottom