Nampenda sana waziri Magufuli, ni waziri ambaye hana mfano

Waandashi humfuatilia na kuwa karibu na mtu atakaefanya habari iuzike na anaependwa na watazamaji. Kama waziri hana jipya la kuvutia TV gani itamuonyesha? Waonyeshe nini?
 
Hata mie namfagilia sana! ila bwana, watu kama hawa unashangaa ndio hawatakiwi eti, yaani?!?!?!?!?
 
Wa-TZ sijui katuloga nani!Waziri Magufuli alitakiwa sasa awe Ukonga Jela kutumia adhabu yake ya miaka mingi kwa uhujumu uchumi kwa kujiuzia mali za Serikali ya Jamhuri wa Muungano ya Tanzania lkn badala yake eti anasifiwa!

Magufuli mwaka 1995-2005 akiwa Waziri kweney serikali ya Rais Mkapa ndiye aliye asisi na kusimamia uuzwaji wa nyumba za serikali;kuna nyumba hadi akawauzia ndugu zake ambao wala hawakuwa watumishi wa serikali kama sheria zinavyosema!

Sijawahi ona duniani serikali inayouza nyumba zake bali nimewahi ona serikali zinazo ongeza kujenga nyumaba zake!Magufuli is most corrupt minister ever in Tanzania history;he has to be imprisonment!
 
Mimi nilimpendea alipokodi cold room za vick fish mwenge kuhifadhia samaki waliokamatwa maarufu samaki wa magufuli. Hivi lile deni la kuhifadhi samaki lililipwaje?
 
Wa-TZ sijui katuloga nani!Waziri Magufuli alitakiwa sasa awe Ukonga Jela kutumia adhabu yake ya miaka mingi kwa uhujumu uchumi kwa kujiuzia mali za Serikali ya Jamhuri wa Muungano ya Tanzania lkn badala yake eti anasifiwa!

Magufuli mwaka 1995-2005 akiwa Waziri kweney serikali ya Rais Mkapa ndiye aliye asisi na kusimamia uuzwaji wa nyumba za serikali;kuna nyumba hadi akawauzia ndugu zake ambao wala hawakuwa watumishi wa serikali kama sheria zinavyosema!

Sijawahi ona duniani serikali inayouza nyumba zake bali nimewahi ona serikali zinazo ongeza kujenga nyumaba zake!Magufuli is most corrupt minister ever in Tanzania history;he has to be imprisonment!

Wabongo tunapenda porojo ukiwa bingwa porojo na kushuka mahesabu ya kuku,punda,bata nk utasifiwa jembe mara panga mara yule anatufaa aje cdm na kila aina ya maneno hii ndio bongo mzee
 
wapangaji wanaotaka kulipwa fidia baada ya nyumba walizopanga kubomolewa kama Kenya inavyofanya WAAMIE KENYA
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom