Nampenda jackline wolper

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Mwenzenu nampenda sana jack wolper,najua siwez mpata lakn naomb mnipe hata namb zake za cm kwa m2 mwenye nazo.Au km yy mwenyewe yumo humu anipe.nijalibu hta kuchat nae.
 
Kabila gani wewe, kama ni kabila fulani ya nyanda za juu, nasihi ukipewa hiyo namba then akakujibu hovyo basi utajinyonga! Ubachela unataka kukuacha vibaya!
 
Ucjali kijana, ka ugonjwa kako ni ka mpito tu, utawaona wengi sana kwenye hiyo redio ya picha uliyonunua, sa cjui utamtamani kila umwonae akiigiza? Karibu mjini japo umekuja na gari la ng'ombe.
 
mwenye namba si ampe jamaa atii kiu yake,
angalizo: hawa mademu tunaowaona kwenye tv (wanaojiita macelebrities) wala sio wagumu kihivyo kuwapata
 
Co kwmb ustaa wke ndio umenivtia kuna k2,kimenvuta km wengine wanavyovutiwa na wengine,cjampenda leo sabbu ya kwnye kioo toka akiwa kidato cha tata,wakt alipokua anatoka mosh.2likutana na nlpata namb yke ila sasa haipatkani,hd leo nampenda sana.
 
the girl is cute, halafu namhisi km ni mpole ivi ila sina uhakika ktk rel life yupo ivo. Nampenda, hasa akiongea.
Inshallah utampata, km una nia nzuri nae.
 
the girl is cute, halafu namhisi km ni mpole ivi ila sina uhakika ktk rel life yupo ivo. Nampenda, hasa akiongea.
Inshallah utampata, km una nia nzuri nae.

Ni mpole na mtu peace sana.. Niliwahi kusafiri nae mpaka kahama from mwanza mwaka juzi, alikuwa na kikund cha dude cha bongo dar es salaam kny live show social club pasaka.. Kiukwel n mzur na muongeaj sna.. Go on brother
 
we angalia kale kasharobaro JUX kana nini...then utajua ni kwa jinsi gani huyu anachinjika kiulaini...ila isue nyingine lazima ujue kupiga show ya hatari ili umkamate kisawasawa....
 
Halafu jana nilisoma sehemu kwamba upo hoi unaumwa, au ka ugonjwa bado hakajaisha!
 
the girl is cute, halafu namhisi km ni mpole ivi ila sina uhakika ktk rel life yupo ivo. Nampenda, hasa akiongea.
Inshallah utampata, km una nia nzuri nae.

Asante dada,naendelea kumwomba mungu asikie kilio changu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom