Nampenda jackline wolper

Wolper.jpg

Haya Mjomba...kazi kwako
 
we angalia kale kasharobaro JUX kana nini...then utajua ni kwa jinsi gani huyu anachinjika kiulaini...ila isue nyingine lazima ujue kupiga show ya hatari ili umkamate kisawasawa....

Sasa hv analiwa na Jux????????? Duh... Hawa madada zetu hawa???
 
Go on senetor atleast u got a courage ya ku speak out u like her... Wengine wanaumia na roho tu kazi kuponda wenzao kumbe wenyewe wanatamaaaani!
 
Go on senator atleast u got a courage ya ku speak out u like her... Wengine wanaumia na roho tu kazi kuponda wenzao kumbe wenyewe wanatamaaaani!
 
Co kwmb ustaa wke ndio umenivtia kuna k2,kimenvuta km wengine wanavyovutiwa na wengine,cjampenda leo sabbu ya kwnye kioo toka akiwa kidato cha tata,wakt alipokua anatoka mosh.2likutana na nlpata namb yke ila sasa haipatkani,hd leo nampenda sana.
acha uongo huyo dada hajafika ata la 4!!utasutwa kidume lol!!
 
we angalia kale kasharobaro JUX kana nini...then utajua ni kwa jinsi gani huyu anachinjika kiulaini...ila isue nyingine lazima ujue kupiga show ya hatari ili umkamate kisawasawa....

asante kwa kuniambia,lakn ninachosema mimi nampenda hta km yuko na shetani
 
oya acha masiara mbona unanipa namb za tgo?
Afu we dogo shule itakushinda! Huku Wolper huku JF hasa MMU! Shauri yako we tuletee hako ka degree ka pass afu experience huna plus shule ya kudesa! Kama huna Ma godfather hapa mjini lazima uchonge ngenga!Piga shule hao mademu utakuwa unawakimbia na kubadili namba simu kila siku!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom