Nampenda jackline wolper

nawe bana pua, nenda sharobaro karekodi single, na kausafiri hata wa kuazima au kama una lako poa then vaa ****** nje utampata tu haina shaka.......
 
kaka piga namba T Z A 2637 atapokea mumewe mwelezee shida yako then atakuonganisha nae moja kwa moja
 
kaka piga namba T Z A 2637 atapokea mumewe mwelezee shida yako then atakuonganisha nae moja kwa moja
 
Mwenzenu nampenda sana jack wolper,najua siwez mpata lakn naomb mnipe hata namb zake za cm kwa m2 mwenye nazo.Au km yy mwenyewe yumo humu anipe.nijalibu hta kuchat nae.

huyu au?
jack2
jack
wolper.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom